FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca vs La galaxy
HT Barca 1-0 la galaxy
Suarez mfungaji.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa najua sana, ila Manga ML sio mtu mzuri, muda wa kuangalia mechi yeye ndio anataka morning glory, mwenzenu ndio naamka.



Acha majungu dogo, tulikuwa tunajua ila sasa ratiba zikaingiliana

Mhhhhjh!!!!! Ngoja nikae kimya tu.....mzima lkn?
 
Last edited by a moderator:
everlink hongera sana kwa kuliongoza jukwaa sisi wengine mda huo kwetu ni usiku mkubwa
 
Haya mambo angefanya yule mpaka poda C ronaldo ningeelewa lakini Messi of all people ni ngumu kumeza aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…