Barca anaongoza 3 kwa 1
Jamani hapa nimenuna kuna mtu anaangalia movie hata habanduki, na hivyo sio shabiki wa barca ndio kabisaaa imekula kwangu, thanx for the updates though.
Usihofu kwa hilo tu mess ana 2 tayari
Aaaaah Messiiiiii he never dissapoints me jamani, i heart him.
Huyu ni waina yake kwakweli
Nafurahi nawe unamkubali.
Nafurahi nawe unamkubali.
Antonio Reyes kapiga la pili, 4-2
Antonio Reyes kapiga la pili, 4-2
Barca 4-3 Sevilla
Whaaaaat!! Dkk ya ngapi?
Dk ya 85.. 4 kwa 4.
Uwiiiiii!! Kweli mpira dkk 90, sitaki tena matokeo.