FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huu uzi ushakuwa wa chit chat sasa.....wapi PNC.....lol? Embu leta news basi au ndo huwezi,au reporter wenu wa mkopo nireport?.......Nani kawa nahodha wa timu?
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi ushakuwa wa chit chat sasa.....wapi PNC.....lol? Embu leta news basi au ndo huwezi,au reporter wenu wa mkopo nireport?.......Nani kawa nahodha wa timu?

Wivu tu, mwanamke hutulii kutwaa kiguru na njia, haya lete hizo news
 
Last edited by a moderator:
Nasikia Messiah wa soka alipanic kidogo ageuke kungfu master teeehe.

Wala usinisalimie tukutane weekend 😀😀😎

Hahahah!! Si unajua wanamuoneaga sana kirikuu wetu jana aliamua kuvunja uteja,Sawa bana tutakutana tu....nasikia umemuhifadhi DS kwaajili yetu hiyo Sept?..
 
Neymar amepata majeruhi na atakuwa nje ya uwanja mpka wiki ijayo.
Ataukosa mchezo wa kesho wa Uefa Super Cup dhidi ya Sevilla na mchezo wa ufunguzi wa La Liga dhidi ya Athletic Bilbao jumapili ijayo ya tar23
 
leo ni FC BARCELONA vs SEVILA uefa super cup mechi itaanza saa tatu na dakika 45 usiku wa leo
 
Pia ikumbukwe mara ya mwisho hawa jamaa super cup uefa walitupiga 3:0 hvo leo tutashinda na kulipa kisasi kwa magoli mengi japo neymar hatokuwepo ila KING ANATOSHA
 
atoto mama wa fc Barcelona nchini Tanzania karbu leo kupokea kombe la 5 ndani ya mwaka mmoja huku tukiwa tumebakisha mawili yatimie saba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom