FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Aaah!!! Acha tu Wangu aibu aibu aibuuuu!!!! Mechi ya jana ni ya Super Cup sema ligi ndo tunaanza nao tena......mwenyewe wakati wa half time nikaona 1-0 nikajipa moyo linarudi nikaendelea kumfurahia big house,duh!!! Kuja kuona matokeo baadaye sikuamini nilitamani hata kumuhadithia big house....
dah! nikajua wamerudisha nyuma ratiba. walikuwa na hasira za del rey. ila tar 23 tutawaonesha who is daddy.
 
11887919_1004035979629874_4522589003377471168_n.jpg
 
Leo ni.mechi ya supper cup marudiano kati ya Fc Barcelona na Athletic bilbao mechi itaanza saa 5 usiku. USHINDI LAZMA
 
marudio? kwani mechi ya kwanza matokeo yalikuaje?
 
Mechi ya kwanza tuliwaachia kwani ikumbukwe jumanne wachezaj wametoka kucheza na sevila tena 120 alf jumatano wamerud njian kutoka Georgia na alhamis wakafanya mazoez na ijumaa kuingia uwanjani hvyo uchovu ulichangia pia la masia walikuwa wengi
 
Mbona maelezo mengi sana, mi nataka matokeo tu, kwani mliwafunga ngapi?
 
Back
Top Bottom