FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

dah! nikajua wamerudisha nyuma ratiba. walikuwa na hasira za del rey. ila tar 23 tutawaonesha who is daddy.
 
Leo ni.mechi ya supper cup marudiano kati ya Fc Barcelona na Athletic bilbao mechi itaanza saa 5 usiku. USHINDI LAZMA
 
marudio? kwani mechi ya kwanza matokeo yalikuaje?
 
Mechi ya kwanza tuliwaachia kwani ikumbukwe jumanne wachezaj wametoka kucheza na sevila tena 120 alf jumatano wamerud njian kutoka Georgia na alhamis wakafanya mazoez na ijumaa kuingia uwanjani hvyo uchovu ulichangia pia la masia walikuwa wengi
 
Mbona maelezo mengi sana, mi nataka matokeo tu, kwani mliwafunga ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…