FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Safi sana Pedro umefanya vizuri kuja kuaga hili ni jambo la maana sana kila la heri kwa maisha mapya huko Chelsea................Duh!! Sijui ndo utaniumiza tukikutana ila mimi mwanasoka ntaendelea kukupenda tu na ninaamini hutatufunga.....lol .. .....
 
Nilishasema Pedro ni bora kupita hazard ila niliishia kutolewa maneno ya kejel ila leo wanaukubal ukwel
 
EVE KIWANGO AMBACHO KAKIONYESHA THOMAS VERMALAEN JANA KIMEONYESHA TAMAA FLAN KAMA JAMAA ANAANZA KUREJEA KATIKA FORM HIVI
 
EVE KIWANGO AMBACHO KAKIONYESHA THOMAS VERMALAEN JANA KIMEONYESHA TAMAA FLAN KAMA JAMAA ANAANZA KUREJEA KATIKA FORM HIVI
Uko sahihi mkuu huyu atakuwa mzur zaid mbeleni kama ataendelea chezeshwa
 
atoto mweee !!!! Kweli Bahati mbaya mumy sikudhamiria kabisa....pamoja na kuwaomba msamaha hujanielewa? Na Bahati mbaya umeme umezingua nikiingia kwenye pc nitaitoa mumy.

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
NA HABARI KUHUSU KUUMIA KWA DANI ALVES INASEMA KWAMBA VIPIMO VIMEONYESHA KWAMBA DANI KAUMIA ILA BADO HAIJAFAHAMIKA ATAKUA JUU KWA MDA GANI TUTAPATA HABARI ZAIDI HAPO BAADAE PIA BUSQUET NAE AMEUMIA ILA HAKUMIA SANA KAMA ALIVYO UMIA DANI @ VISCA BARCA
 
EVE KIWANGO AMBACHO KAKIONYESHA THOMAS VERMALAEN JANA KIMEONYESHA TAMAA FLAN KAMA JAMAA ANAANZA KUREJEA KATIKA FORM HIVI

Ni kweli Vermaelen ameimprove si kama ile mechi iliyopita,alijitahidi kuitendea haki nafasi yake, namtakia mafanikio zaidi awafunge midomo watu maana kelele zilianza....
 
Daaaaah wapone haraka
 
Vp kuhusu tetesi za wendawazimu man u kumtaka mfalme ajae wa barcelona neymar de santos
 
media zao za epl zishaanza kutangaaza ila hilo jambo halipo katika club ila kwa kiasi kilichotajwa barca haitokua na hasara media zimesema man u wanataka kuvunja record tunawakaribisha
 
media zao za epl zishaanza kutangaaza ila hilo jambo halipo katika club ila kwa kiasi kilichotajwa barca haitokua na hasara media zimesema man u wanataka kuvunja record tunawakaribisha

Mkuu chebi hao man u ni baskel ya miti kwenye usajil wamemshindwa Pedro watamuweza Neymaaaaar
 
Last edited by a moderator:
Ss ndio Fc Barcelona miamba ya Catalonia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…