Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kijana alitiwa presha na mourinho lazima awepo katkia kikosi cha juzi jumamosi ili aje kuiogomboa chelsea ilimbidi afanye hivyo bila ya kuwaaga rafiki zake na uongozi mzima sasa leo aliamua kurudi barcelona kuja rasmi kuwaaga wachezaji na uongozi wote wa fc barcelona visca barca visca catalunya kila la kheri PEDRO
![]()
Uko sahihi mkuu huyu atakuwa mzur zaid mbeleni kama ataendelea chezeshwaEVE KIWANGO AMBACHO KAKIONYESHA THOMAS VERMALAEN JANA KIMEONYESHA TAMAA FLAN KAMA JAMAA ANAANZA KUREJEA KATIKA FORM HIVI
![]()
EVE KIWANGO AMBACHO KAKIONYESHA THOMAS VERMALAEN JANA KIMEONYESHA TAMAA FLAN KAMA JAMAA ANAANZA KUREJEA KATIKA FORM HIVI
![]()
Daaaaah wapone harakaNA HABARI KUHUSU KUUMIA KWA DANI ALVES INASEMA KWAMBA VIPIMO VIMEONYESHA KWAMBA DANI KAUMIA ILA BADO HAIJAFAHAMIKA ATAKUA JUU KWA MDA GANI TUTAPATA HABARI ZAIDI HAPO BAADAE PIA BUSQUET NAE AMEUMIA ILA HAKUMIA SANA KAMA ALIVYO UMIA DANI @ VISCA BARCA
![]()
Daaaaah wapone haraka
Vp kuhusu tetesi za wendawazimu man u kumtaka mfalme ajae wa barcelona neymar de santos
media zao za epl zishaanza kutangaaza ila hilo jambo halipo katika club ila kwa kiasi kilichotajwa barca haitokua na hasara media zimesema man u wanataka kuvunja record tunawakaribisha![]()
magazeti ya bongo nayo hawako mbali kukopi na kupesti![]()