Hongera kwa kuujali mchepuko....... Leo nimejipa likizo siangalii mechi yoyote maana kila nionapo mpira naziona zile jezi zetu ngoja nishinde huku huku tu kupata update
Thomas Vermalean kafunga bao lake la kwanza kwa Barca juzi,msimu huu kaanza kucheza baada ya kuwa majeruhi na kukalia benchi karibia mechi 37 za la liga msimu uliopita.
wamesajili wee mpaka dirisha limefungwa barca tuna ban still wataipata tena na mwaka huu mwendo ni ule ule wa treple hao hao tulionao ndi watakao kuja na ushindi visca el barca visca catalunya ban yetu inaisha january
Habar njema kwa mashabiki wa Barcelona na wale wa Leo Messi ni kuwa amebahatika kupata mtoto wa pili kwa mpenz wake Antonela na mtoto anaitwa Mateo. congratulation king Messi