FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kufungwa kubaya Mtani wee muuliza nanihii hapa....!

ha ha haa...

nakweli! ...Belo, Nziku, Manda, Saikosisi, Mtaalamu wapo wapi na wana hali gani jamani? ...hatari, game kama hizi kuna watu roho zishaacha mwili!

Ab-Tichaz sasa tuletee mapicha mazee, wiki nzima kusherehekea ubingwa wa Barca mpaka Icadon azoee!
 
Poleni ManU. The best team of the day WON!!! there is always next time!!
 
Thiery Henry got what he couldn't get at le Arse
 
Congrats to Barca and consolation to Manure!!!!!!!!!!! quintuple dream is over and out...
 
wakuu mie nashangilia hapa JF maana uku kashori kamoja ni man u kwa hio inabidi nisikitike nako.......
 
Congrats to Barca and consolation to Manure!!!!!!!!!!! quintuple dream is over and out...

walishasahau huo msamiati wao siku nyingi!! ulikuwa mwaka wao mzuri, lakini uzuri wa mpira ni kwamba kuanzia hapo, ni historia, leta msimu mwingine sasa!!
 
Yasijekuwa yale ya jamaa M-jaluo wa Nairobi...!!!!!
 
...usijali bana, mngeshinda mngekuwa na kelele miiiiiiiiiiiiiiiiiiingi!...

Ni kweli Man Utd wakishinda hapakaliki..

Messi's goal was magnificent, siwezi kulisahau hilo!..

Majira mema popote ulipo..Bye for now
 
Ni kweli Man Utd wakishinda hapakaliki..

Messi's goal was magnificent, siwezi kulisahau hilo!..

Majira mema popote ulipo..Bye for now

...ohoooooo, yale yale kama mzee masa,....

Mpwa, tafadhali muangalie BJ bana,...anahuzunika sana masikini.
 
wakuu mie nashangilia hapa JF maana uku kashori kamoja ni man u kwa hio inabidi nisikitike nako.......

Mzee inasemekana ulikuwa umezama maeneo kwa dakika zote 90 za mchezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…