Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...ingekuwa masanilo hapa duuu mnuno siku tatu!,... 😀BJ pole!
Huwezi kuamini nimepoa ila kimeniuma....
Hongera to Barca esp. Messi, he is good!
Msumari wa mwisho toka kwa Messi:
![]()
Kufungwa kubaya Mtani wee muuliza nanihii hapa....!
And painful!That goal can only be explained by one word.......WONDERFUL
That goal can only be explained by one word.......WONDERFUL
And painful!
![]()
ha ha haa...
nakweli! ...Belo, Nziku, Manda, Saikosisi, Mtaalamu wapo wapi na wana hali gani jamani? ...hatari, game kama hizi kuna watu roho zishaacha mwili!
Ab-Tichaz sasa tuletee mapicha mazee, wiki nzima kusherehekea ubingwa wa Barca mpaka Icadon azoee!
Thiery Henry got what he couldn't get at le Arse
Congrats to Barca and consolation to Manure!!!!!!!!!!! quintuple dream is over and out...
ha ha haa...
nakweli! ...Belo, Nziku, Manda, Saikosisi, Mtaalamu wapo wapi na wana hali gani jamani? ...hatari, game kama hizi kuna watu roho zishaacha mwili!
Ab-Tichaz sasa tuletee mapicha mazee, wiki nzima kusherehekea ubingwa wa Barca mpaka Icadon azoee!
...usijali bana, mngeshinda mngekuwa na kelele miiiiiiiiiiiiiiiiiiingi!...
Ni kweli Man Utd wakishinda hapakaliki..
Messi's goal was magnificent, siwezi kulisahau hilo!..
Majira mema popote ulipo..Bye for now![]()
Katika soka hakuna wakati mbaya kama huu!kwi kwi kwi kwi..
wakuu mie nashangilia hapa JF maana uku kashori kamoja ni man u kwa hio inabidi nisikitike nako.......