Pyeeeeeeeeee shikamoo celta da vigo
MAN UTD:
timu pekee iliyotisha kwa kubebwa na webb bahati mbaya babu kastaafu,webb naye kastaafu,lakin mpaka leo bado wanaishi kwa kukariri,na zifuatazo ndo sifa za nyumbu utd:
1.timu pekee yenye kelele nyingi inapobahatisha kushinda
2.ni timu inayoamini mafanikio yapo tu kutokana na kelele
3.wachezaji wake wengi hawana ni mabishoo
3.valencia huyu ndo kituko anaamini kuchomekea shati kila siku ndo kushinda game
3.rooney huyu ndo mtu wa kipekee ndani ya man utd ni hii ni kutokana na kufanana na kitimoto anaamini kuzunguka sana uwanjani kunamfanya afunge,taarifa zilizopo ni kuwa siyo muda atakuwa kipa
4.de gea huyu ndo kipa anayewabeba sana
5.smalling beki asiyejua thamani ya kufunga na huyu anafaa kucheza ndanda f.c
6.fellain huyu ndo bure kabisa kipindi cha ferguson huyu angebadilishwa na nurdin bakari anaamin urefu wake ndo kila kitu
7.mata huyu anahitaji watu walio bora kucheza nao
8.depay anaamini ubishoo utamfanya aogopeke,ktk ligi ya wanaume hutakiwi kuwa laini anafaa kuwa mcheza shoo wa diamond
9.young yeye anaweza zaidi kujiangusha sion sababu uwepo wake pale man utd
10.blind kama alivyo jina lake ni kweli kipofu ataendelea kuwa kipofu labda abadilishe timu
11.martial sometime siyo vizuri kubahatisha ni bora usifunge kuliko kubahatisha uonekane una msaada kwenye kumbe huna tofauti na juma ntwila
12:van gaal huyu kocha sijui anasubiri nini kwenda kwenye mieleka ni kocha mbishi zaidi duniani na anayeamini atashinda kwa historia ya nyuma
13:man utd naona wanajaribu kusukuma semi trailer kwenye mlima bora wakomae na calling cup,kilicho kibaya zaidi kocha kakiri hawezi chukua uefa wala epl ina maana ashakata tamaa nashangaa mashabiki wanaendelea kupiga kelele humu