FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hii Barca ina tatizo gani?? wanakosa magoli ya wazi sana-hii sio hallmark ya Barca-mbele ya goal,barca kawaida upenyeza mpira kwenye tundu la sindano-accuracy kama ya Tomhawk cruise missile-but of late naona misses nyingi sio kawaida hii
 
Kama kawa, kama dawa, kama ukawa, kama Lowassa. Vipi Mkuu, mzima wewe?
Hivi Game Ijayo tunacheza na nani?

Mimi nipo pouwa kabsaaaa na tunaisubir 25 OCTOBER pia game ijayo tunacheza na RAYO VALLECANO pale CAMP NOU
 
ban ikiisha wataipata gudi kuna mpango wa kumsajili van persie jamaa bado wamo ila majeruhi yalimpotezea kiwango
 
jamaa wamekata umeme nimeshindwa ona neymar akitupia nne. roho imeniuma sana.
 
Bado siku 10 Mkuu.
Yaani Barca anazidiwa possession na Rayo,tena nyumbani!!! Barca first and foremost ni entertainers,inaonekana huyu Enrique anai ditch hii philosopy-amesahau kwa Barca ni how you win.anaweza shinda trophies lakini come the end of the season akaonyeshwa kitambaa cheupe
 
Hivi leo anakipiga na nani mkuu? nijulishe na muda tafadhali nataka kuwaona Barca

Daaah sorry mkuu ila tulicheza na BATE na matokeo ni 2:0 yote ni RAKITIC
 
Visca el Barca......
 

Attachments

  • 1445416184076.jpg
    43.8 KB · Views: 45
  • 1445416207765.jpg
    39.2 KB · Views: 40
  • 1445416228175.jpg
    17.4 KB · Views: 42
  • 1445416247155.jpg
    22.4 KB · Views: 43
  • 1445416268696.jpg
    16.7 KB · Views: 41
  • 1445416293235.jpg
    57.4 KB · Views: 41
  • 1445416312315.jpg
    49.4 KB · Views: 41
  • 1445416341245.jpg
    93.8 KB · Views: 39
  • 1445416361425.jpg
    26.1 KB · Views: 37
  • 1445416379955.jpg
    7.9 KB · Views: 42
barca 3 eibar 1 moja. suarez anapiga hattrick huku neymar akipiga kazi ya kufa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…