FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

KIKOSI CHA LEO NA SEVILA
13 C. Bravo
3 Piqué
4 I. Rakitić
5 Busquets
9 L. Suárez
11 Neymar
14 J. Mascherano
17 Munir
18 Jordi Alba
20 Sergi Roberto
24 J. Mathieu
 
Basha lona
Update please au half gym ndo mwisho
 
SEVILA you're NEXT

Kesho Ni Fc Barcelona vs Sevila saa 11 jioni tukiwa ugenini Pia isisahaulike mechi ya mwisho tuliwapiga 5:4 nchini Georgia UEFA SUPER CUP

Kweli sevila is next teeeeeehe teeehe

Daaaaah yani hata mie najickia vbaya sana kukosekana kwa king Messi ila TUTASHINDA viva Barcelona

Nadhani muda huu utakua umelazwa kabisa baada ya kujisikia vibaya

Half Time 0:0

Teeeehe teeeehe ukakimbia na update zako kweli Sevila is next
 
Ha ha ha ha haaaaa ha ha ha ha haaa ha Antonio Greezman

Anakuita uende timu gani!!! Alafu barca yetu tumuachie nani? Kufungwa ni sehemu ya matokeo walaaa haiondoi dhana ya kuwa barca ni bingwa.
 
Anakuita uende timu gani!!! Alafu barca yetu tumuachie nani? Kufungwa ni sehemu ya matokeo walaaa haiondoi dhana ya kuwa barca ni bingwa.
Uko sahih mama wa Fc Barcelona nchini Tanzania
 
pnc tumewaona wabaya wetu wasikilize tu wambiye hii barca mwendo wa treble waulize izo timu zao zikoje kuanzia huko epl hata uefa halafu ndo waje kuicheka barca hapa watutajie majina yao ya timu zao
maana ukiona hivyo basi wingi wao from epl akipigwa barca furaha kwa epl yote
 
everlenk pole wikiendi kuharibika. ila nimefurahi sana huyo jamaa yako unayejivunia kufungwa. saa tatu na nusu twende madrid tukaroge.
 
Last edited by a moderator:
pnc tumewaona wabaya wetu wasikilize tu wambiye hii barca mwendo wa treble waulize izo timu zao zikoje kuanzia huko epl hata uefa halafu ndo waje kuicheka barca hapa watutajie majina yao ya timu zao
maana ukiona hivyo basi wingi wao from epl akipigwa barca furaha kwa epl yote

Sie ndio Fc Barcelona wazee wa trebo
 
Back
Top Bottom