FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Afadhali Barcelona wameshinda ingekuwa aibu kwa bingwa mtetezi kupotezwa mapema namna hii!
 
mimi sijawahi ona Barca anazidiwa possession nyumbani kwake- leo half ya kwanza ilikuwa tumezidiwa possession-something is not right-AU huyu Enrique ana abandon philosopy ya Barca????
 
huyu kocha alitakiwa aende EPL ila Camp Nou hapamfai
 
sisi ndio barca bhana tayari mlikua sumu inachemka sasa kunyweni wenyenu ahhaaahhaaaaa
 
oooh bila messi hamtoki wapiii dakika za 80 liverkusen wanajiona tayari wemeshashinda wakaanza kupoteza mda wakaambiwa subirini nyie hampajui hapa eee hapa ni camp nou
 
1443559265_extras_portada_0.jpg
 
oooh bila messi hamtoki wapiii dakika za 80 liverkusen wanajiona tayari wemeshashinda wakaanza kupoteza mda wakaambiwa subirini nyie hampajui hapa eee hapa ni camp nou
Ha ha ha ha ha ha ha hiv hawa leverkusen wamfunge Barcelona kwa kigezo kip haswa?
 
Kesho Ni Fc Barcelona vs Sevila saa 11 jioni tukiwa ugenini Pia isisahaulike mechi ya mwisho tuliwapiga 5:4 nchini Georgia UEFA SUPER CUP
 
Nikiwaza Messi hatokuwepo daah napoteza raha kabisa, he has to get wel fast maana mie huyu ndio ananifanya niangalie mpira mara moja moja.
 
Daaaaah yani hata mie najickia vbaya sana kukosekana kwa king Messi ila TUTASHINDA viva Barcelona
 
Back
Top Bottom