FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwa sasa hatuko vizuri sana kwa kusumbuliwa na majeruhi na ile ban ya kusajiri hadi januari mosi inatutesa pique nae pia masherano nyuma kule majanga!alves kiasi anajitahidi ewe mola tusaidie
 
mimi nipo,nafuatilia mustakbali wa nchi-Lowassa analeta shida-mara baada ya ukombozi wa nchi nitarudi rasmi humu

Pole sana mama, hata mimi nipo kwenye michakato ya kuwaelimisha watanzania watambue kwamba ni kosa kubwa kuwachagua CCM tena, kuanzia Madiwan mpaka wabunge na Marais. Inabidi tuitoe CCM na kuiweka ndani UKAWA.
Anyway tuachane na hayo Mkuu, tuendelee na harakati za kimaisha, uchaguzi ukiisha tutakuwa humu 24/7 kama zamani.
 
Haya yana uhusiano gani na barca?? Kwaherini.
 
Pole sana mama, hata mimi nipo kwenye michakato ya kuwaelimisha watanzania watambue kwamba ni kosa kubwa kuwachagua CCM tena, kuanzia Madiwan mpaka wabunge na Marais. Inabidi tuitoe CCM na kuiweka ndani UKAWA.
Anyway tuachane na hayo Mkuu, tuendelee na harakati za kimaisha, uchaguzi ukiisha tutakuwa humu 24/7 kama zamani.

Hizo siasa kaongee kwenu huko hili ni jukwaa la sport..
 
hii gem mnaikumbuka ni secunde ya mwisho king anafanya yake na kuja na ubingwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom