Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ila jamaa wanavurugu sana. kipa alitaka kumuumiza king messi mguu makusudi. yule Diop kacheza rafu 8 peke yake. ila zaidi ya yote nasema shikamoo Neymar.hawa jamaa espanyol barcelone mechi ya juzi jumamosi walilazimisha droo wakajiona wao ndo wameshinda leo wamekiona kiliomtoa kanga manyoya tunaenda tena kwao tarehe 13/01/2016 sasa wafanye kama juzi kupoteza time waone nini kitawakuta tena hakuna wa kumzuia messi lazima akupige tuu visca barca
yap ni kweli alikusudia kumvunja messi manaake alikua anamuangalia refa kama haangalii alipoona refa haangalii akazidi kukanyaga messi angalifanya kulia kugara gara basi refa angalisubiri majibu kuotka kwa ma replay lakini messi hana hizo kanyanyuka hata sisi tuliokua tunangalia hatukujua nini kilitokea ila mpaka replay karibu 3 hivi ndio tumeona kitendo wenyewe na hawa espanyol mechi ya marudiano kwa vile wamesha shindwa watazidi kufanya fujo ili waharibu mpira ila haina shida kipigo kitawahusu visca barcaila jamaa wanavurugu sana. kipa alitaka kumuumiza king messi mguu makusudi. yule Diop kacheza rafu 8 peke yake. ila zaidi ya yote nasema shikamoo Neymar.
Ngoja tukajipigie haolive from camp nou 09/01/2016 . 16:00 = 18:00 east africa time
live from camp nou 09/01/2016 . 16:00 = 18:00 east africa time