Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu timu za spain sijui huzielewi chunguuza timu za spain zinapokua home basi kuzifunga ni kwa shida wee angalia leo espanyol walivyotoa droo na barca kana kwamba ndio wao wameshinda furaha tele sasa wee akilini mwako jiulize kwanini. hawa espan'gol tarehe 6 january wanakuja camp nou mechi ya copa del rey hio coment yako naomba uje nayo tena hapaNakumbuka Cristiano Ronaldo aliwafunga Espanyol goli tano na akatoa assist moja Barca fans wakasema hoo anafunga timu chovu Tu. Leo MSN wameshindwaje kuifunga timu chovu?
Barca na Espanol ni kama Atletico Madrid na Real Madrid, ni zaidi ya mahasimu. Kukamiana kwao si jambo la kushangaza.Nakumbuka Cristiano Ronaldo aliwafunga Espanyol goli tano na akatoa assist moja Barca fans wakasema hoo anafunga timu chovu Tu. Leo MSN wameshindwaje kuifunga timu chovu?
Sijui vina matatizo hivi vijamaa!?Hawa watoto wanatuharibia mbio zetu
Madrid wanakurupuka saaana, hata Benitez tuliwaambia hafai, wakabisha. Sasa hivi wamempa Zidane, sina uhakika sana juu yake ila naona kama Zidane asipoangalia atashusha hata ile heshima yake aliyonayo Bernabeu.wamempa Zidane timu-it can not get any worse- Barca lie in wait smelling blood
Nadhani anaeza tumiwa kama attacking midfielder as per bleacher reporthivi hawa akina alex vidal na arda turan kweli watapata nafasi hawa jamaa saivi timu iko full hakuna majeruhi wengi ni rafihna tu na arda turan yee ni attack atachukua nafasi ya nani kidogo huyu alex vidal anaweza kuchukua nafasi ya alves subiri tuone ila kocha asije kujaribu kumueka bench neymar au suarez wanaweza kukimbia
Hakuna uadui zote ni timu za Spain siyo mbaya kujua Jirani yako anafanya nini ili wewe ujipange zaidiNimekuja humu kuangalia habari za Barca nimekuta watu wanajadili Real Madrid