FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nakumbuka Cristiano Ronaldo aliwafunga Espanyol goli tano na akatoa assist moja Barca fans wakasema hoo anafunga timu chovu Tu. Leo MSN wameshindwaje kuifunga timu chovu?
 
huu mpira ndivyo ulivyo atletico atakaa kwa mda hapo juu ajue tu kua tuna kiporo chetu hatujakimaliza vs sporting gijon tulienda kuchukua world cup club na kesho madrid ana kibarua kigumu vs valencia
 
Nakumbuka Cristiano Ronaldo aliwafunga Espanyol goli tano na akatoa assist moja Barca fans wakasema hoo anafunga timu chovu Tu. Leo MSN wameshindwaje kuifunga timu chovu?
mkuu timu za spain sijui huzielewi chunguuza timu za spain zinapokua home basi kuzifunga ni kwa shida wee angalia leo espanyol walivyotoa droo na barca kana kwamba ndio wao wameshinda furaha tele sasa wee akilini mwako jiulize kwanini. hawa espan'gol tarehe 6 january wanakuja camp nou mechi ya copa del rey hio coment yako naomba uje nayo tena hapa
 
Teeeehe teeeehe

1451904270884.jpg
 
Nakumbuka Cristiano Ronaldo aliwafunga Espanyol goli tano na akatoa assist moja Barca fans wakasema hoo anafunga timu chovu Tu. Leo MSN wameshindwaje kuifunga timu chovu?
Barca na Espanol ni kama Atletico Madrid na Real Madrid, ni zaidi ya mahasimu. Kukamiana kwao si jambo la kushangaza.
Harafu usimafananishe Messi na Ronaldo kwa upande wa kuangalia Game kama hizi.
Messi kashapiga Hat Trick dhidi ya Mahasimu wakuu wa Real Madrid ambao ni Atletico, Messi jumla kashapiga Hat Trick si chini ya 3. Ronaldo ashawahi piga Hat Trick dhidi ya Atletico?
Messi kashapiga Hat Trick mpaka pale Bernabeu, achana na Camp Nou!!!
Sasa wewe unataka kuzungumza nini bwana mdogo?
 
wamempa Zidane timu-it can not get any worse- Barca lie in wait smelling blood
 
wamempa Zidane timu-it can not get any worse- Barca lie in wait smelling blood
Madrid wanakurupuka saaana, hata Benitez tuliwaambia hafai, wakabisha. Sasa hivi wamempa Zidane, sina uhakika sana juu yake ila naona kama Zidane asipoangalia atashusha hata ile heshima yake aliyonayo Bernabeu.
Carlo ndo alikuwa mtu sahihi kwa Madrid, nnachoipendea Barca huwa haipendi kukurupuka, iwe ktk usaili wa wachezaji au hata makocha. Wakati anaondoka Pep, hawakuangaika kumtafuta mtu mwenye jina japo walikuwepo wengi. Alipoondoka Tata Martino pia hawakutaka kujibebesha mizigo isiyo ya maana. Sasa angalia Madrid mishahara wanayowalipa makocha na pesa za mikataba walioingia, pia anangalia na pesa wanazonunua wachezaji.
Ifike kipindi huyu perez ashauriwe asijione yeye mungu mtu kwa maamuzi yake ya kipuuzi, anatuharibia soka letu la spain.
 
huyo zizou nae tayari kesha ingia choo cha kike si mda mrefu watamchoka
 
  • Thanks
Reactions: PNC
hivi hawa akina alex vidal na arda turan kweli watapata nafasi hawa jamaa saivi timu iko full hakuna majeruhi wengi ni rafihna tu na arda turan yee ni attack atachukua nafasi ya nani kidogo huyu alex vidal anaweza kuchukua nafasi ya alves subiri tuone ila kocha asije kujaribu kumueka bench neymar au suarez wanaweza kukimbia
 
Nadhani anaeza tumiwa kama attacking midfielder as per bleacher report
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nimekuja humu kuangalia habari za Barca nimekuta watu wanajadili Real Madrid
 
HAWA JF KUBADILI MUONEKANO WAO WAMESABABISHA HATA THREAD YETU IPOE watu wanavumbua iphone 7 wenyewe wanarudisha watu kwenye teknolojia ya nokia jeneza Yani wameniboa sana na hili li JF lao la kikoloni
 
dk 28 sisi 1 esp 1. Messi katupia na tumenyimwa penati ya wazi. Neyma yuko onfire.
 
Back
Top Bottom