alilipa fine.Vp mbona namwona mascherano wakati kahukumiwa kwenda jela mwaka m1?
I miss you! Mbona umepotea Mkuu!?game ya leo as usual ni show time,value for money,entertainment 100% na tunaweza furahia a goals galore
Hili kombe ni la Barca moja kwa moja, nasema hivi sababu sijaona timu inayoweza kuleta upinzani kwa Barca badala ya Real Madrid kuondolewa. Atletico Madrid hawawezi isumbua Barca!Game ya leo wadau mnaionaje?
Na iwe hivyo!leo tunashinda! Barc 3-1 Athltc.....messi 2-1 suarez aka vampire
¨Hili kombe ni la Barca moja kwa moja, nasema hivi sababu sijaona timu inayoweza kuleta upinzani kwa Barca badala ya Real Madrid kuondolewa. Atletico Madrid hawawezi isumbua Barca!