...Barca atacheza na Valencia..draw ya nusu final hivyo inafanyika lini
jumatano ijayo saa 4 usiku ndani ya camp nou....Barca atacheza na Valencia..
Hiyo sidhani,Att boost the meanest defence in Europe-inahitajika kazi ya biblical proportions kufikia hicho kiwango anyway with the greatest strike force in football history anything can happenutabiri wangu wa leo! barcelona 7 <> 1 atltc
kweli. mpaka sasa wamefungwa goli nane tu kama bayern. ila forward yao mbovu wakiwa na goli 30 wakati barca na madrid wanakimbilia 60.Hiyo sidhani,Att boost the meanest defence in Europe-inahitajika kazi ya biblical proportions kufikia hicho kiwango anyway with the greatest strike force in football history anything can happen
atatokaje!? nimefurahi kumuona jordi. leo mpira utakuwa wa kasi ya kutisha. hapa nina kimuhemuhe balaaa.View attachment 320166
HATOKI MTU HAPO LEO