FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

...nawashangaa hawa jirani zangu hapa wanapata wapi nguvu za kuiponda barca,eti barcelona sio kitu?!,nahisi kuna watu wana makengeza kwenye ubongo!
 
Firstrow sports link 10 mpira unarushwa kwa Kiswahili,hawa watangazaji wanaharibu mpira,eti Neymar anafanya makusudi opposition players wapewe card-some reporting this!!!!!!!!
wanaweka ushabiki. kama wanafuatilia mpira watajua kuwa Neymar anaongoza kwa kuchezewa rafu na hana tabia ya kudive.
 
Point 3 kileleni. 7 kwa mahasimu wetu. Ila sikufurahia zile red card zimepunguza ladha ya mpira.

Visca barca.
 
Hamna kitu hapo, ni aibu kicheza na timu ambayo majembe yao mawili yakiwa yamepewa kadi nyekundu na kushinda 2 tu tena kwa taaaaaabu alafu nyumbani! Watu 10 vs 11, barca walikuwa wanautafuta kwa tochi, 9 vs 11, barca were cluelesa, hawakujua cha kufanya!!
Simeone ni kocha bora kuliko Enrique, huu ndo ukweli!
 
Point 3 kileleni. 7 kwa mahasimu wetu. Ila sikufurahia zile red card zimepunguza ladha ya mpira.

Visca barca.
Godin tangu dakika 10 za mwanzo alishaonesha kuwa Game imemuelemea, Felipe Luis hawezi kabisa kumkaba Messi, alipewa jukumu ambalo haliwezi.
 
Kuna watu watapinga lakini ukweli Enrique anabebwa na ubora wa kikosi na sio mbinu zake.
 
Hiyo sidhani,Att boost the meanest defence in Europe-inahitajika kazi ya biblical proportions kufikia hicho kiwango anyway with the greatest strike force in football history anything can happen
Bad 2nd half by Barca. Neymar very dissaapointing, doesn't have the maturity yet. He should have strived more to create chances rather than doing unnecessary stuffs.

#congratulations
 
Bad 2nd half by Barca. Neymar very dissaapointing, doesn't have the maturity yet. He should have strived more to create chances rather than doing unnecessary stuffs.

#congratulations
Umemuangalia kwa Game hii tuu ama!? Kama kweli wewe ni mpenzi wa mpira, ulifurahishwa na vitendo alivyofanyiwa Neymar mwanzoni kabisa mwa mpira, na uliyaka yeye kama yeye afanyeje!? Lazima ajilinde na huku akimini kuwa kuna Messi na Suarez ambao muda wowote wanaweza wakafunga, ndo maana yeye hakukamia sana, mbona El Classico alicheza soka zuri sana Mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…