Ahahahahahahaha ila Mkuu, kwanini mlimuondoa Moyes!?Yule atashindwa hata kupanga kikosi, alda atacheza beki mbili.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Unwritten rule ya soccer ni kwamba opposition ikiwa pungufu eg 2 players you don't humiliate them-wangekuwa 11 pengine zingefika 5 maana shughuli ilishaanzaHamna kitu hapo, ni aibu kicheza na timu ambayo majembe yao mawili yakiwa yamepewa kadi nyekundu na kushinda 2 tu tena kwa taaaaaabu alafu nyumbani! Watu 10 vs 11, barca walikuwa wanautafuta kwa tochi, 9 vs 11, barca were cluelesa, hawakujua cha kufanya!!
Simeone ni kocha bora kuliko Enrique, huu ndo ukweli!
Neymar kwenye mechi ya bilbao katikati ya wiki aliumia mguu. kwanza nilidhani hata cheza leo.Bad 2nd half by Barca. Neymar very dissaapointing, doesn't have the maturity yet. He should have strived more to create chances rather than doing unnecessary stuffs.
#congratulations
mkuu bila zile kadi mpira napo ungekuwa mbaya. felipe alicheza rafu 4 bila hata yellow.Point 3 kileleni. 7 kwa mahasimu wetu. Ila sikufurahia zile red card zimepunguza ladha ya mpira.
Visca barca.
Naona wanaona treble ni international cup hawa watoto wa van gaalKwahiyo Barca hata akipewa kilaza wenu Van Gaal ataweza kubeba trebble au sio?
Uliza ni timu gani england iliyowahi chukua trebleNaona wanaona treble ni international cup hawa watoto wa van gaal
umetumwa au vipi hizo goli 2 zilipoingia walikua wangapi na nani alieanza kufunga goli acha ushabiki wa kipumbavu wale athletico wanajifanya wana hasira walikusudia kumuumiza neymar au messi ile sio miyeleka ni football wao ndo wamejiharibia kwa rafu za kijingaHamna kitu hapo, ni aibu kicheza na timu ambayo majembe yao mawili yakiwa yamepewa kadi nyekundu na kushinda 2 tu tena kwa taaaaaabu alafu nyumbani! Watu 10 vs 11, barca walikuwa wanautafuta kwa tochi, 9 vs 11, barca were cluelesa, hawakujua cha kufanya!!
Simeone ni kocha bora kuliko Enrique, huu ndo ukweli!
sikuiz umekuwa mchambuz wa soka man u imekushinda[emoji1] [emoji1]Bad 2nd half by Barca. Neymar very dissaapointing, doesn't have the maturity yet. He should have strived more to create chances rather than doing unnecessary stuffs.
#congratulations
Bachalona oyeee
Amekimbia Lawama, angeenda timu kama Chelsea, PSG au Madrid angepewa kazi kubwa sana juu ya UEFA. Kaenda Man City huku akitegemea kazi yake kubwa ni League tuu.hawa Arabs wa Manchester City naona wana more money then brains,wanamlipa Guadiola 1 million £ take home every month,wanataka wa trigger release clause ya Neymar wamchukue na Messi pia wanamtaka Pogba. Guadiola financially atakuwa fine,lakini Man City itaishia kutesa England and no where else.
...sijakusoma hapa,hiyo tiki taka ni phylosophy,na kila kocha ana phylosophy yake na ndio Guardiola ameamua kuifata.Amekimbia Lawama, angeenda timu kama Chelsea, PSG au Madrid angepewa kazi kubwa sana juu ya UEFA. Kaenda Man City huku akitegemea kazi yake kubwa ni League tuu.
Kuna watu nilishawahi kuwaambia kuwa Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana, kilichompa mafanikio makubwa pale Barca ni Messi pamoja na Tiki taka ambayo ilikuwa ikichezeshwa na Mafundi akina Xavi na Iniesta.
Kipindi cha 2011-2012 Pep aliona kuwa mfumo wa Barca umeshapata suluhisho kwa timu pinzani, akaamua kusepa. Na ni kweli kabisa, endapo jamaa angebaki na Mourinho akabaki pale Bernabeu, tungekuwa tunaburuzwa sana.
Kudhihirisha kuwa Pep ni bomu, baada ya kwenda Bayern akaamua kupeleka mfumo wa Barca badala ya kuanzisha Soka lake binafsi kule Bayern. Tiki taka sio yake, ni ya JOHAN CRUYFF. Yeye mwenyewe alipewa tu mbinu ya kuifundisha Tiki taka, na ndo akawafundisha Barca B wakiwepo akina Iniesta, Xavi, Messi n.k
Pep kwangu ni kocha wa kawaida tuu, ukiniwekea yeye na Ancelot nitamchagua Ancelot.
Well Guadiola ame win financially lakini tatizo press ya England ni too demanding kwa mshahara atakaopata hakuna grace period-he has to hit the ground running which is next to impossible. Waarabu wanataka tiki taka football and nothing else-hii ni impossible kui master-it took ages for Barca to master this art-you have to start from the academies. For Guadiola tatizo ni football ya sasa inataka immediate results-this will be his undoing...sijakusoma hapa,hiyo tiki taka ni phylosophy,na kila kocha ana phylosophy yake na ndio Guardiola ameamua kuifata.
...kuhusu kushinda makombe nayo ni bahati tu,unaweza kuwa na Messi kwenye timu na bado usishinde kila mashindano utakayoingia.
.....habari ya Mourinho anajua eti angeanza kumfunga Guardiola,nayo ni sababu fake..coz Mourinho ndio kaharibu mara mia zaidi ya Guardiola mpk kufikia stage ya kufukuzwa!!
..mwisho; unatakiwa ufahamu,kila kocha ana level yake na Guardiola sasa ni miongoni mwa makocha wachache wa daraja la kwanza.Hivyo kukaa unasubiri eti siku moja aende kufundisha stoke city,then washinde CL final ndio uamini anajua,is simply insane!