Tablet tecno 7c mkuuKupitia simu au computer?
cc chebiTablet tecno 7c mkuu
Jaribu crickfree.sx au wiz1.netTablet tecno 7c mkuu
Aiseee best angu nashukuru angalau Ww unanikumbuka , Mimi Ako na majanga namiss uhondo tu Ila najitahidi nisipitwe nafatilia mdogo mdogo......Visca el Barca!!!
wewe mtu wa wapi mpira ni dakika 90Mmeshindwa kupata hata shoot on target kazi kupiga makelele tu
naona kama wanatuchezea ant-football. possesision 72 kwa 28!, ila wanakaba mbaya na counter zao hatari sana.Arsenal wamebana!
Ila wataachia tu
Mmeshindwa kupata hata shoot on target kazi kupiga makelele tu
Arsenal wamebana!
Ila wataachia tu
Mmeshindwa kupata hata shoot on target kazi kupiga makelele tu
Tena washaanza kuchoka, tusubiri S/H watakiona cha moto,