[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aya banaWakuu usiku mwema
Mungu awabariki wote nilikua nawasalimu tu.
One love waku viva Barca........
jamaa wanasema tutengeneze post yenye picha na maelezo ya timu na itawekwa pale juu kama post no 1. Aleyn, BuenosAires, @jackyline, everlenk, good96 etc. nafikiri yeyote anaweza fanya.
mkuu wewe ndio ufanye hvyo tengeneza picha kali na historia kwa ufup ila mvuto zaid uwe pichani NAKUAMINIA USITUANGUSHE[emoji120] [emoji120]jamaa wanasema tutengeneze post yenye picha na maelezo ya timu na itawekwa pale juu kama post no 1. Aleyn, BuenosAires, @jackyline, everlenk, good96 etc. nafikiri yeyote anaweza fanya.
kwa mapicha ngoja tumwite chebi chebi ataweza hii kazi. sipo vizuri hizi makitu japo najua tunatakiwa kuwa na mwaka na founders, uwanja, trophies, jerseys, what else? kwa pamoja hakitaharibika kitu. kesho jioni ntaandaa summary ya timu.mkuu wewe ndio ufanye hvyo tengeneza picha kali na historia kwa ufup ila mvuto zaid uwe pichani NAKUAMINIA USITUANGUSHE[emoji120] [emoji120]
Compare mafanikio ya johan cryff na pep utajua nani boraAmekimbia Lawama, angeenda timu kama Chelsea, PSG au Madrid angepewa kazi kubwa sana juu ya UEFA. Kaenda Man City huku akitegemea kazi yake kubwa ni League tuu.
Kuna watu nilishawahi kuwaambia kuwa Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana, kilichompa mafanikio makubwa pale Barca ni Messi pamoja na Tiki taka ambayo ilikuwa ikichezeshwa na Mafundi akina Xavi na Iniesta.
Kipindi cha 2011-2012 Pep aliona kuwa mfumo wa Barca umeshapata suluhisho kwa timu pinzani, akaamua kusepa. Na ni kweli kabisa, endapo jamaa angebaki na Mourinho akabaki pale Bernabeu, tungekuwa tunaburuzwa sana.
Kudhihirisha kuwa Pep ni bomu, baada ya kwenda Bayern akaamua kupeleka mfumo wa Barca badala ya kuanzisha Soka lake binafsi kule Bayern. Tiki taka sio yake, ni ya JOHAN CRUYFF. Yeye mwenyewe alipewa tu mbinu ya kuifundisha Tiki taka, na ndo akawafundisha Barca B wakiwepo akina Iniesta, Xavi, Messi n.k
Pep kwangu ni kocha wa kawaida tuu, ukiniwekea yeye na Ancelot nitamchagua Ancelot.
Ancelotti ana overall trophies ngapi as compared to pep??? Nahisi una chuki binafsi na pepCompare mafanikio ya johan cryff na pep utajua nani bora
Barca are lucky kwamba in MSN wana talent tatu tofauti-Neymar anapo dribble mpira-defence yoyote inakuwa disorganized,Messi quick thinking,mpira kunasa mguuni kwake na coolness yake hata ndani ya pressure hana peer since soccer began,Suarez nguvu na being at the right place atafunga siku zote-Wakishirikiana ndipo linakuja tatizo ambalo no opposing coach amepata jibu.Pass aliyotoa Neymar kwa goal la pili la Messi jana no player on earth can do that apart from MESSIThe thing about Messi is that he isn't selfish. When
he had two goals, he gave the freekick opportunity
to Neymar. When Barcelona got a penalty, he gave
it to Suarez. After that, he still got his hattrick.[emoji13]
KWA REKODI HII HIVI KWELI BARCA ITAWEZA KUSHINDA KTK GAME YA PENALTY SHOOTOUTS?
*ni kweli Barca needs to improve on penalties lakini haina haja sana kwakuwa MSN wana uwezo wa kumaliza game ndani ya dakika 90 bila kufika 120 au penalty shootouts