FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

upload_2016-3-4_1-0-18.png
 
Umeniona mimi nikishabikia Arsenal? Sijawahi kuipenda timu ya yoyote ya EPL. Mimi sipendi vibovu kama wewe.
Hivi mimi na wewe kila mtu akitaja timu yake mbele za watu nani ataonekana kicheko. Hivi kizazi hiki bado mtu unashabikia Man U kweli!? Burudani yote itolewayo na Messi, Neymar, Iniesta na Barca kwa ujumla bado unashabikia Man U?
Hivi ninyi mara ya mwisho kubena UEFA lini!? Miaka ya Karibuni mmewahi hata kuingiza Mchezaji ktk Ballon D Or? Miaka ya Karibuni hata hatua ya mtoano UEFA hamuijui, wapongezeni Arsenal mnaowaponda walau wamefika huko.
Mwisho kabisa, WATU WANAHAMA DINI WALIZOZALIWA NAZO, SEMBUSE TIMUUUU!? Njoo Barca moja kwa moja, achana na hao viwete Man U.
Hahhahahha dady Leo unakana maneno yako???? Nikasake post yako uliyokuwa ukiisapot arsenal wasikuangushe kuifunga Man U????? Poyeeeeeeee lol mifanoooooo kibao!!!! Allergy hii noma muone daktari tafadhali still loving you my dady sipendi nikupoteze sababu ya Man U!!!!!
 
Umeniona mimi nikishabikia Arsenal? Sijawahi kuipenda timu ya yoyote ya EPL. Mimi sipendi vibovu kama wewe.
Hivi mimi na wewe kila mtu akitaja timu yake mbele za watu nani ataonekana kicheko. Hivi kizazi hiki bado mtu unashabikia Man U kweli!? Burudani yote itolewayo na Messi, Neymar, Iniesta na Barca kwa ujumla bado unashabikia Man U?
Hivi ninyi mara ya mwisho kubena UEFA lini!? Miaka ya Karibuni mmewahi hata kuingiza Mchezaji ktk Ballon D Or? Miaka ya Karibuni hata hatua ya mtoano UEFA hamuijui, wapongezeni Arsenal mnaowaponda walau wamefika huko.
Mwisho kabisa, WATU WANAHAMA DINI WALIZOZALIWA NAZO, SEMBUSE TIMUUUU!? Njoo Barca moja kwa moja, achana na hao viwete Man U.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji123]
 
Nani aiwaze Man U!? Unataka kusema naionea wivu ama? Mbona wewe unayeipenda Man U umeiacha na kuja huku, nani anamuonea wivu mwezake sasa!?
Huku tuko camp Nou habari za OT unazitoa wapi km siyo wewe mwenye matatizo, poyeeeeeeeeee!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Toka lini shabiki wa Man U akaipenda Barca, mashabiki wa man u mnaojifanya mnaipenda Barca mnatuletea uchuro humu ndani. Hii Thread ni ya kiungwana sana, sasa ninyi mmekuja na mashetani yenu mekundu mnataka kuleta vurugu.
Ngoja niwaite wachungaji waanze maombi, karibu Pastor PNC 1, jackline1, chebi Red Giant
My daddy tafadhali muone daktari hii allergy yako imefika pabaya, you can't make black to be white oooohhhhh!!!!
 
Tupo Camp Nou kama kawaida ila Waswahili wanasema kwenye safari ya mamba, kenge nao wapo. Wewe unajifanya shabiki wa Barca ila wewe ni Man U damu, so wewe ni JIPU. Ndo maana nilivyokutumbua kuhusu Man U yako umeanza kuitetea. PNC 1 na jackline1 embu njooni mumshike vema huyu Binti ili nikiendelea kumtumbua asipige kelele kuamsha watu, si mnajua sasa hivi ni usiku sana.
 
Pepo wa Man u ashindweeeeeeeeeee kwa jina la MESSI aliyewaua pale wimbley kwa goli 2
 
Embu ngoja nikuulize swali moja kidogo, unasema nina Alej na Man U, hivi unaweza ukaifananisha Man U na Barca? Niwe na Alej nayo kwa kipi hasa? Kuna kitu Man U ilichoizidi Barca? Embu nijibu haya maswali kwanza.
 
Hahhahahha poyeeeee my dady unazeeeka vibaya sana always I tell you Man U is my soul Barca is my heart.......everlenk is everlenk,Vamos Barca !!!!!embu niache nilaleeeeeeeeeeeeee!!!!!!!! Usisahau kumuona daktari.
 
Pepo wa Man u ashindweeeeeeeeeee kwa jina la MESSI aliyewaua pale wimbley kwa goli 2
Ahahahahahahaahahaha mashabiki wa man u bhana, timu zao zikienda kombo wanatafuta timu za kujifarijia.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Embu ngoja nikuulize swali moja kidogo, unasema nina Alej na Man U, hivi unaweza ukaifananisha Man U na Barca? Niwe na Alej nayo kwa kipi hasa? Kuna kitu Man U ilichoizidi Barca? Embu nijibu haya maswali kwanza.
mchezaji bora pale barca ni messi na mchezaji bora anayetegemewa man u ni rashford [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutoka beckam had mkikuyu wa kenya
 
Ahahahahahahahahahahahahaha!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom