Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
messi kaondoka na mpira wake-suarez kakosa penalty
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penalt suarez kapiga kwa hasira sana aiseemessi kaondoka na mpira wake-suarez kakosa penalty
Man U walikufanyaje??? PoleeeeHii ndo Barca, magoli ya ajabu yanapatikana EPL kwa Man U na vibonde vingine.
Safiiii Messi idadi ya magoli inazidi kuongezekamessiiiiiiiiiiiii. 4-1.
magoli sasa 19 bado 6 amfikie suarezSafiiii Messi idadi ya magoli inazidi kuongezeka
Soma nilichoandika utaelewa.Man U walikufanyaje??? Poleeee
yatakuwa yamefika 20. CR7 atakuwa anakunywa kahawa huku anatetemeka.Safiiii Messi idadi ya magoli inazidi kuongezeka
Acha hizo!!!! kwahiyo mfano wako umeona ni Man U tu katika EPL nzima?Soma nilichoandika utaelewa.
Hata mwalimu anatoa mfano aupendao, ka vipi na wewe toa mfano wako.Acha hizo!!!! kwahiyo mfano wako umeona ni Man U tu katika EPL nzima?
Kwendraaaaaaa!!!! Huna lolote....na allergy yako itakuua....lolHata mwalimu anatoa mfano aupendao, ka vipi na wewe toa mfano wako.
Ronaldo ashapotea, atasubiri sana Huku Suarez Huku Messi kibarua kizito hajui amkimbize nani.yatakuwa yamefika 20. CR7 atakuwa anakunywa kahawa huku anatetemeka.
Kwendraaaa wewe na Man U yako, mashabiki wa Barca hatushei damu na Mashabiki wa Man U.Kwendraaaaaaa!!!! Huna lolote....na allergy yako itakuua....lol
Hahahahahahaaaaaa poyeeeeee sana mimi nipogo tu ......!!!! Najua bado una hasira za arsenal walivyokuangushaaaa........embu kunywa pepsi hapo ushushe hasira naja kulipa now.Kwendraaaa wewe na Man U yako, mashabiki wa Barca hatushei damu na Mashabiki wa Man U.
Nyie si mnajiita mashetani wekundu, sisi tunajiita Malaika, giza haliwezi kukaa na nuru.
Aya haraka sana potea hapa, nenda kwenye Thread yenu ya Man U kwa mashetani wenzako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwendraaaa wewe na Man U yako, mashabiki wa Barca hatushei damu na Mashabiki wa Man U.
Nyie si mnajiita mashetani wekundu, sisi tunajiita Malaika, giza haliwezi kukaa na nuru.
Aya haraka sana potea hapa, nenda kwenye Thread yenu ya Man U kwa mashetani wenzako.
Msaidie kaka yako atakufa na Man U maana kila wakati anaiwaza tu......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeniona mimi nikishabikia Arsenal? Sijawahi kuipenda timu ya yoyote ya EPL. Mimi sipendi vibovu kama wewe.Hahahahahahaaaaaa poyeeeeee sana mimi nipogo tu ......!!!! Najua bado una hasira za arsenal walivyokuangushaaaa........embu kunywa pepsi hapo ushushe hasira naja kulipa now.
Nani aiwaze Man U!? Unataka kusema naionea wivu ama? Mbona wewe unayeipenda Man U umeiacha na kuja huku, nani anamuonea wivu mwezake sasa!?Msaidie kaka yako atakufa na Man U maana kila wakati anaiwaza tu......