FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Akaze buti na safari hii apate tuzo yake astaafu na bonge la heshima.
 
Kwendraaaaaaa!!!! Huna lolote....na allergy yako itakuua....lol
Kwendraaaa wewe na Man U yako, mashabiki wa Barca hatushei damu na Mashabiki wa Man U.
Nyie si mnajiita mashetani wekundu, sisi tunajiita Malaika, giza haliwezi kukaa na nuru.
Aya haraka sana potea hapa, nenda kwenye Thread yenu ya Man U kwa mashetani wenzako.
 
Hahahahahahaaaaaa poyeeeeee sana mimi nipogo tu ......!!!! Najua bado una hasira za arsenal walivyokuangushaaaa........embu kunywa pepsi hapo ushushe hasira naja kulipa now.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msaidie kaka yako atakufa na Man U maana kila wakati anaiwaza tu......
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hahahahahahaaaaaa poyeeeeee sana mimi nipogo tu ......!!!! Najua bado una hasira za arsenal walivyokuangushaaaa........embu kunywa pepsi hapo ushushe hasira naja kulipa now.
Umeniona mimi nikishabikia Arsenal? Sijawahi kuipenda timu ya yoyote ya EPL. Mimi sipendi vibovu kama wewe.
Hivi mimi na wewe kila mtu akitaja timu yake mbele za watu nani ataonekana kicheko. Hivi kizazi hiki bado mtu unashabikia Man U kweli!? Burudani yote itolewayo na Messi, Neymar, Iniesta na Barca kwa ujumla bado unashabikia Man U?
Hivi ninyi mara ya mwisho kubena UEFA lini!? Miaka ya Karibuni mmewahi hata kuingiza Mchezaji ktk Ballon D Or? Miaka ya Karibuni hata hatua ya mtoano UEFA hamuijui, wapongezeni Arsenal mnaowaponda walau wamefika huko.
Mwisho kabisa, WATU WANAHAMA DINI WALIZOZALIWA NAZO, SEMBUSE TIMUUUU!? Njoo Barca moja kwa moja, achana na hao viwete Man U.
 
Msaidie kaka yako atakufa na Man U maana kila wakati anaiwaza tu......
Nani aiwaze Man U!? Unataka kusema naionea wivu ama? Mbona wewe unayeipenda Man U umeiacha na kuja huku, nani anamuonea wivu mwezake sasa!?
 
Back
Top Bottom