FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

yani hili jambo nishawaambia Moderator mara kibao ila wanekuwa wapuuziaji Ni inatia aibu club kama Barcelona kuwa na picha ya zaman isiyo na maelezo kiukwel Paw hebu msiwe mnajifanya mko biiiize mnatuumiza mioyo
jamaa wanasema tutengeneze post yenye picha na maelezo ya timu na itawekwa pale juu kama post no 1. Aleyn, BuenosAires, @jackyline, everlenk, good96 etc. nafikiri yeyote anaweza fanya.
 
mkuu wewe ndio ufanye hvyo tengeneza picha kali na historia kwa ufup ila mvuto zaid uwe pichani NAKUAMINIA USITUANGUSHE[emoji120] [emoji120]
kwa mapicha ngoja tumwite chebi chebi ataweza hii kazi. sipo vizuri hizi makitu japo najua tunatakiwa kuwa na mwaka na founders, uwanja, trophies, jerseys, what else? kwa pamoja hakitaharibika kitu. kesho jioni ntaandaa summary ya timu.
 
Ninaamini Messi anapokiwa anacheza duniani hata Malaika wa mbinguni wanasimamisha kazi zao na kuangalia uumbaji na kipaji cha Baba Muumba mbingu na nchi then wanamtukuza Mungu Baba kupitia kazi yake hii.

Ndio maana hata Messi mara kwa mara anapofunga ubusu na kunyoosha vidole vyake angani akikiri na kushukuru kwa zawadi alizopewa na Baba.

Uhimidiwe Mfalme, Mungu. Allah, Adonai, Jehova.

Visca messi....visca el barca.
 
The thing about Messi is that he isn't selfish. When
he had two goals, he gave the freekick opportunity
to Neymar. When Barcelona got a penalty, he gave
it to Suarez. After that, he still got his hattrick.[emoji13]
 
Amekimbia Lawama, angeenda timu kama Chelsea, PSG au Madrid angepewa kazi kubwa sana juu ya UEFA. Kaenda Man City huku akitegemea kazi yake kubwa ni League tuu.
Kuna watu nilishawahi kuwaambia kuwa Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana, kilichompa mafanikio makubwa pale Barca ni Messi pamoja na Tiki taka ambayo ilikuwa ikichezeshwa na Mafundi akina Xavi na Iniesta.
Kipindi cha 2011-2012 Pep aliona kuwa mfumo wa Barca umeshapata suluhisho kwa timu pinzani, akaamua kusepa. Na ni kweli kabisa, endapo jamaa angebaki na Mourinho akabaki pale Bernabeu, tungekuwa tunaburuzwa sana.
Kudhihirisha kuwa Pep ni bomu, baada ya kwenda Bayern akaamua kupeleka mfumo wa Barca badala ya kuanzisha Soka lake binafsi kule Bayern. Tiki taka sio yake, ni ya JOHAN CRUYFF. Yeye mwenyewe alipewa tu mbinu ya kuifundisha Tiki taka, na ndo akawafundisha Barca B wakiwepo akina Iniesta, Xavi, Messi n.k
Pep kwangu ni kocha wa kawaida tuu, ukiniwekea yeye na Ancelot nitamchagua Ancelot.
Compare mafanikio ya johan cryff na pep utajua nani bora
 
The thing about Messi is that he isn't selfish. When
he had two goals, he gave the freekick opportunity
to Neymar. When Barcelona got a penalty, he gave
it to Suarez. After that, he still got his hattrick.[emoji13]
Barca are lucky kwamba in MSN wana talent tatu tofauti-Neymar anapo dribble mpira-defence yoyote inakuwa disorganized,Messi quick thinking,mpira kunasa mguuni kwake na coolness yake hata ndani ya pressure hana peer since soccer began,Suarez nguvu na being at the right place atafunga siku zote-Wakishirikiana ndipo linakuja tatizo ambalo no opposing coach amepata jibu.Pass aliyotoa Neymar kwa goal la pili la Messi jana no player on earth can do that apart from MESSI
 
=>>Barcelona sass imeweka rekodi Hispania ya kucheza michezo 35 pasipo kufungwa ktk mashindano yote.
 
=>>Hat trick ya Messi jana ilikiwa ni hat trick ya 35.

HAT TRICK 35 KWA MESSI HUKU BARCELONA IKIWEKA REKODI YA MECHI 35 UNBEATEN
 
RECORD COUNT DOWN:-
=>>Barcelona sasa imebakisha mechi moja icheze pasipo kufungwa ili kuifikia rekodi ya Ac Milan ya mwaka 1990/1991 kwa kucheza michezo 36 pasipo kufungwa ktk mashindano yote.

=>>Baadae iitafute rekodi ya Nottingham Forest iliyocheza michezo 40 pasipo kufungwa.

=>>Na hatimaye Juventus ya 2011/2012 iliyocheza michezo 43 pasipo kufungwa.

NB: hizi siyo rekodi za dunia, ni rekodi za ligi kubwa 5 barani Ulaya (La Liga, Epl, Bundesliga, Seria A na Ligue1) ktk mashindano yote.
 
=>>"mchezaji Sergio Busquets ambaye girlfriend wake ni mjamzito wa miezi 9 sasa, anatarajia kuitwa baba kwa mara ya kwanza ifikapo wiki ijayo ya mwezi huu"


hongera sana Sergio Busquets
 
=>>Barcelona sasa imeifikia rekodi ya klabu ya Tenerife ya mwaka 1990 kwa kukosa penati nyingi zaidi katika msimu mmoja wa La liga.

Mpaka sasa Barcelona imekosa penati 13 zilizopatikana msimu huu.

Klabu ya Tenerife ilikosa idadi hiyohiyo ya oenati katika msimu mmoja wa mwaka 1990
 
=>>Klabu ya Rayo Vallecano iliyofungwa jana na Fc Barcelona kwa idadi ya magoli 5-1 huku wachezaji wake wawili wakitolewa nje kwa kadi nyekundu, ilipata hivyohivyo katika mchezo wake dhidi ya R.Madrid ambapo wachezaji wake wawili pia walitolewa nje kwa kadi nyekundi.

Na mpaka sasa katika michezo hiyo miwili Rayo vs Madrid, Rayo vs Barca Rayo imefungwa jumla ya magoli 15
 
=>>jana katika mchezo wa Barcelona dhidi ya Rayo Vallecano, Pique alimfwata Messi wakati penati ilipopatikana na kumuomba ampe Mascherano aipige ile penati ile jambo ambalo Mascherano alikataa
Na hatimaye akapewa Suarez na kwa bahati mbaya alikosa.

>>Mascherano hajawahi funga goli ktk klabu ya Barcelona tangu ahamie klabuni hapo mapema mwaka 2010 akitokea Liverpool

>>Mpaka sasa Mascherano amejiwekea rekodi ktk klabu ya Barcelona kama mchezaji aliyecheza michezo mingi zaidi katika timu ya Barcelona pasipo kufumania nyavu na hii imekuwa dhihaka kwake ktk vyumba vya kubadilishia nguo kwani wachezaji wenzake humtania kwa jina la "LEGEND" yani mkongwe mwenye rekodi ya michezo mingi bila kufunga goli hata moja katika klabu.

Mapema mwezi uliopita ilianzishwa kampeni na mashabiki wa Barcelona wakimsihi Messi ampe Mascherano walau nafasi ya kufunga goli la penati na kuondoka ukame wa kutokufunga goli katika klabu hiyo.

Hii ilichochewa zaidi pale Messi alipopiga penati ya pasi na kumrahisishia Suarez kufunga penati ambayo iliibua hisia nyingi kwamashabiki wa kandanda ulimwenguni.

*Jana wakati mechi inaendelea na kupatikana penati Pique alimkumbusha Messi kwamba ampe Mascherano apige ili afunge lakn Mascherano alikataa katakata
 
BARCELONA MSIMU HUU IMEPATA PANATI 19 KTK MASHINDANO YOTE, IKIWA NI MSIMU WALIOPATA PENATI NYINGI ZAIDI KULIKO MISIMU MINGINE ILIYOPITA, LAKINI IMEFANIKIWA KUFUNGA PENATI 6 TU NA IMEPOTEZA PENATI 13.


>>Barcelona penalts in this season = 19
>>Penalty won 6
>>Penalty misses 13
 
KWA REKODI HII HIVI KWELI BARCA ITAWEZA KUSHINDA KTK GAME YA PENALTY SHOOTOUTS?

*ni kweli Barca needs to improve on penalties lakini haina haja sana kwakuwa MSN wana uwezo wa kumaliza game ndani ya dakika 90 bila kufika 120 au penalty shootouts
 
KWA REKODI HII HIVI KWELI BARCA ITAWEZA KUSHINDA KTK GAME YA PENALTY SHOOTOUTS?

*ni kweli Barca needs to improve on penalties lakini haina haja sana kwakuwa MSN wana uwezo wa kumaliza game ndani ya dakika 90 bila kufika 120 au penalty shootouts


Ndo mda wao lkini it will reach a time itashuka

hii ni kama AC MILAN ya Arigo sachi
 
Back
Top Bottom