FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Azam Sport wameandika Mess anagoli 20 mpka alilofunga sasahv
 
Barca hii sifa mambo gani haya ya kudhalilisha Getafe mbona jamaa watakula nyingi dk 45 tu goli 4. Hii speed si ya kawaida
 
Kupiga hela kwenye la liga kwa wazee wa mkeka ni rahisi sana, unajua kabisa mtu anaenda pigwa za kutosha, very boring!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…