FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

>>Barcelona sasa imekusanya jumla ya point 75 kati ya michezo 29 iliyocheza ktk La Liga.

-bado michezo 9 ligi iishe kwa msimu huu wa 2015/16
 
RECORD BREAKDOWN:-
>>Barcelona leo imevunja rekodi ya klabu ya Ac Milan ya mwaka 1991/92 iliyocheza michezo 36 pasipo kufungwa.

-sasa Barcelona imetimiza michezo 37 pasipo kufungwa.

-bado mechi 3 icheze bila kufungwa ili kuifikia rekodi ya Nottingham Forest iliyocheza mechi 40 bila kufungwa.

-na hatimaye rekodi ya Juventus ya 2011/12 iliyocheza mechi 43 mfululizo pasipo kufungwa.
 
It's better to offer a free kick not a penalty. .......

271b928911178caea81fc87f02cbb974.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Penalty imekua tatizo sana kwa barca ni lakuangaliwa tena hili
 
  • Thanks
Reactions: PNC
fc-barcelona-squad-2015-16-football-team.jpg

hi-res-21dd3296cfc64a4a2eb01abb4f691116_crop_north.jpg

Jina: Futbol Club Barcelona (FCB) a.k.a Barca, Blaugrana.

Kuanzishwa: November 29 1899

Uwanja: Camp Nou , unaingiza watu 99,354. Mkubwa kuliko yote ulaya na watatu duniani.

Mashabiki
: Barcelonistas, Cules,Blaugranes au Azulgranas.

Makombe: Washindi wa La liga mara 23 nyuma ya Madrid (32).

Washindi wa Copa del Rey mara 27 mbele ya Bilbao 24 na Madrid 19.

Washindi wa supercopa mara 11 mbele ya Madrid mara 9.

Washindi mara tatu wa FIFA club world cup (rekodi).

Washindi mara 5 wa UCL nyuma ya Madrid 10 na milan 7.

El classico: kwa mechi za mashindano Madrid kashinda 92 na Barcelona kashinda 90. Kwa zote Barcelona kashinda 109 na Madrid 96.
Hapa sasa thread imekuwa tamu SIO MIPICHA YA ZAMANI
 
Good thread kamanda umejitahidi mno! God bless u
 
nchini ECUADOR LIGI KUU yao inaendelea ambapo kwa mara ya kwanza katika zaid ya ulongo mmoja endapo BARCELONA itaibuka na ushindi itaongoza ligi
MPIRA DK 52 NA BARCELONA inaongoza 1:0 usishangae barca iko kila mahala hata mtaani kwetu ipo
 
Back
Top Bottom