Hapa sasa thread imekuwa tamu SIO MIPICHA YA ZAMANI
Jina: Futbol Club Barcelona (FCB) a.k.a Barca, Blaugrana.
Kuanzishwa: November 29 1899
Uwanja: Camp Nou , unaingiza watu 99,354. Mkubwa kuliko yote ulaya na watatu duniani.
Mashabiki: Barcelonistas, Cules,Blaugranes au Azulgranas.
Makombe: Washindi wa La liga mara 23 nyuma ya Madrid (32).
Washindi wa Copa del Rey mara 27 mbele ya Bilbao 24 na Madrid 19.
Washindi wa supercopa mara 11 mbele ya Madrid mara 9.
Washindi mara tatu wa FIFA club world cup (rekodi).
Washindi mara 5 wa UCL nyuma ya Madrid 10 na milan 7.
El classico: kwa mechi za mashindano Madrid kashinda 92 na Barcelona kashinda 90. Kwa zote Barcelona kashinda 109 na Madrid 96.
We shabiki qa Arsenal embu tulia.Kupiga hela kwenye la liga kwa wazee wa mkeka ni rahisi sana, unajua kabisa mtu anaenda pigwa za kutosha, very boring!
Barca hamna kitu pale. Kila mtu anajua, ndumba nyingi!We shabiki qa Arsenal embu tulia.
Hapa sasa thread imekuwa tamu SIO MIPICHA YA ZAMANI
We shabiki qa Arsenal embu tulia.
Jina: Futbol Club Barcelona (FCB) a.k.a Barca, Blaugrana.
Kuanzishwa: November 29 1899
Uwanja: Camp Nou , unaingiza watu 99,354. Mkubwa kuliko yote ulaya na watatu duniani.
Mashabiki: Barcelonistas, Cules,Blaugranes au Azulgranas.
Makombe: Washindi wa La liga mara 23 nyuma ya Madrid (32).
Washindi wa Copa del Rey mara 27 mbele ya Bilbao 24 na Madrid 19.
Washindi wa supercopa mara 11 mbele ya Madrid mara 9.
Washindi mara tatu wa FIFA club world cup (rekodi).
Washindi mara 5 wa UCL nyuma ya Madrid 10 na milan 7.
El classico: kwa mechi za mashindano Madrid kashinda 92 na Barcelona kashinda 90. Kwa zote Barcelona kashinda 109 na Madrid 96.
It is possible...DAWA ya ARSENAL ni kuwapa dozi kama ya troyes anayopewa leo na PSG