FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Oxford University buffons have come out with a formulae,that will stop MSN from creating havoc on opposition defences-it will be publicized after the champions league finals-The footballing world awaits
 
Ahahahahahahahahahaha!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
VIVA BARCELONA NA ASANTE KWA USHINDI MNENE nimerejea tena kutoka kwenye BAN japo nilionewa ila yote sawa
 
arsenal wenger alipoishiwa furaha ghafla baada ya kutajiwa barcelona
 
BARCELONA vs ATLETICO MADRID
UEFA DRAW hawa atletico washaumia wale wa bara wanasemaga kalaghabao yani ndio kwa heri hvyo imekula kwake
 
Screenshot_2016-03-18-15-46-05-1.png
 
No problem kwa hawa Atletico, uwezo wake kwa Barca miaka ya hivi karibuni umekuwa ni wa hovyo. Barca tunamtoa kwa namna ya kipekee huyu Atletico, atatulia tuu.
ON current form-Barca have nothing to worry- Barca of late have mastered the art of giving opponents a false sense of security,inviting opponents to attack and feel on top.Suddenly the gears are revved up and MSN are deep inside enemy territory-only one outcome here-nets bulging
 
Sure, ukiangalia Goli la Arsenal pale Emirates ni hivyo hivyo, tunawaleta kwetu kisha ghafla tunatembea na kufika kwao.

Hata Camp Nou kuna mda Barca alionesha kupiga mipira mirefu ijapokuwa haikuzaa matunda saaana.

All ni all, nadhani Classico haitakuwa nzuri saana bkoz baada ya Classico kuna Atletico Madrid UEFA, na hapa ndo pa pakuangalia sana. La Liga Real washajifia wale.
 
Classico haitakuwa nzuri,sababu ya gulf kubwa in class- Madrid naona second half huwa wanasahau kama wako uwanjani sijui ni stamina or what
 
Back
Top Bottom