[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Japo nina hasira ila umenifanya nifurahiSijui kwanini nikiona jina la Mathieu kwenye starting line au anaingia kwa sub hua naumia roho sana.
Mkuu PNC1 hivi huwa hukosi amani ukiona jina la huyu jamaa???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Japo nina hasira ila umenifanya nifurahi
mkuu yani we acha tu huyu mwehu huwa ananikera sana sema ndio hvo kocha huwez mzuia kwenye kufanya subMkuu PNC1 hivi huwa hukosi amani ukiona jina la huyu jamaa???
Uyu mathieu na vermalein waondoke tuSijui kwanini nikiona jina la Mathieu kwenye starting line au anaingia kwa sub hua naumia roho sana.
hawa ni mabek type ya man u mda wote ni kutoa maboko kama huyo vamalen ndio empty had wanaboaUyu mathieu na vermalein waondoke tu
Mimi uyu mathieu tangu atoe ile siri ya ugomvi wa messi na kocha enrique mm alinitoka moyoni kabisa nikajua atakua mbea tu uyu kumbe kawa adi mfungishaji kabisaSijui kwanini nikiona jina la Mathieu kwenye starting line au anaingia kwa sub hua naumia roho sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ibrah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu japo moyo unaumiaMimi uyu mathieu tangu atoe ile siri ya ugomvi wa messi na kocha enrique mm alinitoka moyoni kabisa nikajua atakua mbea tu uyu kumbe kawa adi mfungishaji kabisa
hawa ni mabek type ya man u mda wote ni kutoa maboko kama huyo vamalen ndio empty had wanaboa
Mkuu ni shida [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu ibrah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu japo moyo unaumia
mimi alinishangaza wakat anamuingiza mathiew sababu nikajua huyu uchochoro alisababisha majanga kwenye mechi ya deportivo alipoingia game ikaisha 2:2 daaah kama niliota vile nikaona upande wake umekuwa uchochoro watu wanajipitia akawa anawapasia maadui alipoona bado anaowapasia hawafungi akaamua kumaliza mchezo kwa kujifunga PUMBAAAAAAAAF ZAKE analipwa mshahara mkubwa hata kunyoa kipilipili hatak[emoji1] [emoji1] [emoji1] afu enrique kocha wetu hua anafanya sub mda mwingne adi wewe shabiki unashangaa
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] afu enrique hajifunzi hawa wachezaji wengine bana pale kati mascherano na pique wasipokuepo hatuna mbadala aliekamilika kama tulivo kwenye kiungomimi alinishangaza wakat anamuingiza mathiew sababu nikajua huyu uchochoro alisababisha majanga kwenye mechi ya deportivo alipoingia game ikaisha 2:2 daaah kama niliota vile nikaona upande wake umekuwa uchochoro watu wanajipitia akawa anawapasia maadui alipoona bado anaowapasia hawafungi akaamua kumaliza mchezo kwa kujifunga PUMBAAAAAAAAF ZAKE analipwa mshahara mkubwa hata kunyoa kipilipili hatak
dah nimekosa mechi, tanesco walitukatia umeme toka asubuhi. Mathieu nafikiri kazeeka. miaka 33 na timu inahitaji uwe unapanda!! siyo mbaya. unbeaten record inaendelea. huyo bakambu wa moto sana. ngoja nisubiri madrid na sevilla. wale wazembe wamepigwa jana na sporting.Mimi uyu mathieu tangu atoe ile siri ya ugomvi wa messi na kocha enrique mm alinitoka moyoni kabisa nikajua atakua mbea tu uyu kumbe kawa adi mfungishaji kabisa
Madrid naomba asimamishwe ata kwa droo tu kama ikiwezekanadah nimekosa mechi, tanesco walitukatia umeme toka asubuhi. Mathieu nafikiri kazeeka. miaka 33 na timu inahitaji uwe unapanda!! siyo mbaya. unbeaten record inaendelea. huyo bakambu wa moto sana. ngoja nisubiri madrid na sevilla. wale wazembe wamepigwa jana na sporting.
Pique ilibidi atolewe,alikuwa one card away aikose El Classico-hii mechi you need all your big guns.[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] afu enrique hajifunzi hawa wachezaji wengine bana pale kati mascherano na pique wasipokuepo hatuna mbadala aliekamilika kama tulivo kwenye kiungo