mabeki wote ni wazur ila jana ndio tumeliona pengo la pique japo akiwepo huwa tunamuona wa kawaidapenalt ya neymar tumebebwa ndugu zangu ila ndo mpira. Yan barca beki mzuri ni mascherano mana anafikia sana mashimo ya wenzake. mie akiwepo mascherano tu afadhali anatuokoa sana ata acheze na beki mbovu hua anatusaidia sana.
kwa hiyo hizo timu zingine ambao Barca kila siku wanafunga for fun nazo hazina ma beki??penalt ya neymar tumebebwa ndugu zangu ila ndo mpira. Yan barca beki mzuri ni mascherano mana anafikia sana mashimo ya wenzake. mie akiwepo mascherano tu afadhali anatuokoa sana ata acheze na beki mbovu hua anatusaidia sana.
mabeki wote ni wazur ila jana ndio tumeliona pengo la pique japo akiwepo huwa tunamuona wa kawaida
Mkuu wewe unashabikia timu gani...?Lakini pengo la Pique bahati nzuri limezibwa na Refarii.
kwa hiyo hizo timu zingine ambao Barca kila siku wanafunga for fun nazo hazina ma beki??
Mkuu hivi kuichukia Barcelona kulitokana na niniLakini pengo la Pique bahati nzuri limezibwa na Refarii.
Huyo ni Arse8Mkuu wewe unashabikia timu gani...?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] acha utani mkuu....messi auzwe..?marekebisho upande wa beki halaf the magician mess should be sold to m an city
Jamaa analeta utan hv hajui mtu kama Messi huwa anazaliwa duniani kila baada ya miaka 2000[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] acha utani mkuu....messi auzwe..?
sijaona swali la msingi maybe urudie kwa kirefu mana umefupisha swali nimeshindwa kukuelewa.kwa hiyo hizo timu zingine ambao Barca kila siku wanafunga for fun nazo hazina ma beki??
Naona Mamluki wa EPL mmekuja huku kwa kujivisha mavazi ya mamba kumbe ninyi ni kenge.marekebisho upande wa beki halaf the magician mess should be sold to m an city
Uyu ni zaidi ya mamlukiNaona Mamluki wa EPL mmekuja huku kwa kujivisha mavazi ya mamba kumbe ninyi ni kenge.
Wewe ni mwana barca kweli??? Unajua kupata mtu kama messi imeichukua barca miaka mingapi???marekebisho upande wa beki halaf the magician mess should be sold to m an city
Hujo atakuwa haelew mpira ni nini au kaanza ushabikia baada ya Barca kuifunga JuveWewe ni mwana barca kweli??? Unajua kupata mtu kama messi imeichukua barca miaka mingapi???