>>siri imefichuka,
Wachelewaji wakubwa ktk mazoezi anaanza Pique, anafuata Neymar, alafu Adriano na Turan
Pique ndiye anaongoza list ya wachelewaji nakwa msimu huu mpaka sasa kashapigwa faini ya 1600£
Neymar wa pili kwa uchelewaji mazoezini mpaka sasa kashapigwa faini ya 1400£
Watatu ni Adriano faini ya 1000£
Wanne ni Arda Turan faini ya 400£
>>wanaowahi zaidi mazoezini ni Mascherano, Suarez, Busquets, Iniesta na Messi.
☝hawa hawajawahi chelewa na hutoa taarifa ya dharura mapema nakwa msimu huu hawajapigwa faini hata moja.
Mascherano ndiye anaongoza kwa utii na nidhamu, anakuja Iniesta, wa tatu Suarez, wa nne Messi na Busqets ni watano.