Ibrahim Msuya
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 572
- 1,264
mimi ni shabiki wa bac blaaaSamahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??
Siku hazifanani msimu huu man city hajanifunga ujue. Hizo sita imekuwa historia kumbuka tuombe uzima tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] city Huyu Huyu aliyekupiga 6 ha haaahaaahahaaahaaaa. Mkuu jipangeni kwa msimu ujao msilazmishe mambo wakat msimu ushawatupa mkono
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kama ni hivo sawa japo unachapia maandishi ila kuwa huru [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] karibu saaaana jukwaanimimi ni shabiki wa bac blaaa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata lile moja ni lilidumu kibahat japo ckuiz mnacheza ili mrad mtimize ratibaSiku hazifanani msimu huu man city hajanifunga ujue. Hizo sita imekuwa historia kumbuka tuombe uzima tu
[emoji15] [emoji15] kibahati tena acha hizo basi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata lile moja ni lilidumu kibahat japo ckuiznacheza ili mrad mtimize ratiba
Mlishacheza mechi 8 pasipo kushinda sasa mkuu hyo sio bahat kuwafunga city[emoji15] [emoji15] kibahati tena acha hizo basi
Ndo football hiyo. Ila mechi 8 nyingi aiseeMlishacheza mechi 8 pasipo kushinda sasa mkuu hyo sio bahat kuwafunga city
Yap siongop Mimi ni mshabiki halisi wa Barcelona pekee pia ni mfuatiliaji wa soka ligi mbalimbali ulimwenguniNdo football hiyo. Ila mechi 8 nyingi aisee
Nimekuelewa sana. Kwa mtazamo wako man united inaweza shika namba 4 kwenye ligi ya EPL?Yap siongop Mimi ni mshabiki halisi wa Barcelona pekee pia ni mfuatiliaji wa soka ligi mbalimbali ulimwenguni
Hapo ni pagumu sana. Tuna kazi ya ziada pia kuombea timu nyingine zifanye vibaya ili tupate nafuu. Ngoja tuone mwisho wa msimu tutavuna niniMtizamo wangu Man u anaweza shika top 4 endapo Tottenham atafanya vibaya vinginevyo man u kushika top 4 ni vigumu mno sababu timu kama man city pamoja na kufanya vibaya hivi karibuni inaweza ikabadilika mda wowote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kiukweli binafs nisiwe mnafiki huwa siipend man u hivyo kama big 4 mtafaulu au mshindwe kwangu yote sawa japo maombi yangu mshuke hata daraja [emoji4] [emoji4]Hapo ni pagumu sana. Tuna kazi ya ziada pia kuombea timu nyingine zifanye vibaya ili tupate nafuu. Ngoja tuone mwisho wa msimu tutavuna nini
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naona unatuombea njaa. Hata siku moja tuombe mema.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kiukweli binafs nisiwe mnafiki huwa siipend man u hivyo kama big 4 mtafaulu au mshindwe kwangu yote sawa japo maombi yangu mshuke hata daraja [emoji4] [emoji4]
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naona unatuombea njaa. Hata siku moja tuombe mema.
Hata na mimi nisiwe mnafiki Barcelona siipendi mlimfanya SAF atetemeke kwenye ile fainali. Nakumbuka ile naangalia na rafiki zangu tulikuwa tunasonya tu ila ndo mpira huo
Tulivyosawazisha lile goli tukajipa matumaini sana. Kuwa hamtoki kilichotokea[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee nakumbuka siku ile baada ya Rooney kusawazisha nilisikia mgongo umekufa ganzi Kugeuka nyuma naangalia kimetokea nini nakuta mwingine anajikok kunipa kofi la pili Aiseee ndio mana siipend man u yani mashabik wake mpira wanauona kama vitaTulivyosawazisha lile goli tukajipa matumaini sana. Kuwa hamtoki kilichotokea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole sana. Nahisi furaha iliwazidi hao jamaa. Nakumbuka tulikuwa watatu tu tunacheck game tulihofia kwenda kibanda umiza aisee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee nakumbuka siku ile baada ya Rooney kusawazisha nilisikia mgongo umekufa ganzi Kugeuka nyuma naangalia kimetokea nini nakuta mwingine anajikok kunipa kofi la pili Aiseee ndio mana siipend man u yani mashabik wake mpira wanauona kama vita
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] siwez sahau sababu hata man u nawajua mashabiki wake ni wana kelele saaana hususani wakishinda mechi tatu mfululizo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole sana. Nahisi furaha iliwazidi hao jamaa. Nakumbuka tulikuwa watatu tu tunacheck game tulihofia kwenda kibanda umiza aisee.
Ila sahau ya nyuma basi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] duuuh. Kushangilia muhimu hasa kwa misimu hii mitatu ni tabu tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] siwez sahau sababu hata man u nawajua mashabiki wake ni wana kelele saaana hususani wakishinda mechi tatu mfululizo