FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Samahani mkuu cjaielewa hii lugha ya mawasiliano uliyoitumia na hii ni comment yako ya 5 jf toka ujiunge 2014 hivyo la muhimu kwangu nataka kufahamu wewe ni shabiki wa FC Barcelona ??
mimi ni shabiki wa bac blaaa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] city Huyu Huyu aliyekupiga 6 ha haaahaaahahaaahaaaa. Mkuu jipangeni kwa msimu ujao msilazmishe mambo wakat msimu ushawatupa mkono
Siku hazifanani msimu huu man city hajanifunga ujue. Hizo sita imekuwa historia kumbuka tuombe uzima tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Siku hazifanani msimu huu man city hajanifunga ujue. Hizo sita imekuwa historia kumbuka tuombe uzima tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata lile moja ni lilidumu kibahat japo ckuiz mnacheza ili mrad mtimize ratiba
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hata lile moja ni lilidumu kibahat japo ckuiznacheza ili mrad mtimize ratiba
[emoji15] [emoji15] kibahati tena acha hizo basi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Yap siongop Mimi ni mshabiki halisi wa Barcelona pekee pia ni mfuatiliaji wa soka ligi mbalimbali ulimwenguni
Nimekuelewa sana. Kwa mtazamo wako man united inaweza shika namba 4 kwenye ligi ya EPL?
 
Mtizamo wangu Man u anaweza shika top 4 endapo Tottenham atafanya vibaya vinginevyo man u kushika top 4 ni vigumu mno sababu timu kama man city pamoja na kufanya vibaya hivi karibuni inaweza ikabadilika mda wowote
 
Hapo ni pagumu sana. Tuna kazi ya ziada pia kuombea timu nyingine zifanye vibaya ili tupate nafuu. Ngoja tuone mwisho wa msimu tutavuna nini
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hapo ni pagumu sana. Tuna kazi ya ziada pia kuombea timu nyingine zifanye vibaya ili tupate nafuu. Ngoja tuone mwisho wa msimu tutavuna nini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kiukweli binafs nisiwe mnafiki huwa siipend man u hivyo kama big 4 mtafaulu au mshindwe kwangu yote sawa japo maombi yangu mshuke hata daraja [emoji4] [emoji4]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] naona unatuombea njaa. Hata siku moja tuombe mema.

Hata na mimi nisiwe mnafiki Barcelona siipendi mlimfanya SAF atetemeke kwenye ile fainali. Nakumbuka ile naangalia na rafiki zangu tulikuwa tunasonya tu ila ndo mpira huo
 
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tulivyosawazisha lile goli tukajipa matumaini sana. Kuwa hamtoki kilichotokea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee nakumbuka siku ile baada ya Rooney kusawazisha nilisikia mgongo umekufa ganzi Kugeuka nyuma naangalia kimetokea nini nakuta mwingine anajikok kunipa kofi la pili Aiseee ndio mana siipend man u yani mashabik wake mpira wanauona kama vita
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole sana. Nahisi furaha iliwazidi hao jamaa. Nakumbuka tulikuwa watatu tu tunacheck game tulihofia kwenda kibanda umiza aisee.

Ila sahau ya nyuma basi.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] siwez sahau sababu hata man u nawajua mashabiki wake ni wana kelele saaana hususani wakishinda mechi tatu mfululizo
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] duuuh. Kushangilia muhimu hasa kwa misimu hii mitatu ni tabu tu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom