Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Yaya anaweza kucheza nafasi tatu au nne, ni kiraka mzuri ila sina uhakika na kasi yake, maana inaonekana ni giant flani hivi.Paying 220K for a player like Yaya per week is crazy!!!
alikosa namba ktk spain national team,kule kuna xabi alonso sio barca,kina keita watakaa benchi,atacheza yeye,busquets,xavi,iniesta,barca inakuza na ina mpango wa kuboresha wahispaniolaHata namba hana uhakika
Spain alikuwa anatoka Torres anaingia Fabalikosa namba ktk spain national team,kule kuna xabi alonso sio barca,kina keita watakaa benchi,atacheza yeye,busquets,xavi,iniesta,barca inakuza na ina mpango wa kuboresha wahispaniola
sawa umeongea point,ila ninavyowajua waspain mimi,hata messi atawekwa benchi,hawawezi kuua kipaji cha mspain mwenzao,kina hleb,henry,petit wote hawakumudu barca sababu ni wageni,si unamkumbuka davor suker,alikuwa mfungaji bora world cup 1998 kule ufaransa wakati huo anacheza real madrid,ila kulikuwa na pedrag mijatovic na raul gonzalez au raul madrid wanavyomuita wakati huo chipukizi,ila huyo suker alisugua benchi mpk akahamia arsenal,wamekuja mastaa kibao eg zidane,figo,beckham,ronaldo lima,mpaka leo kina kaka na ronaldo lakini wapi raul aachii jezi na bado wanamsaluti,hata barca kama utakumbuka kina deco,gaucho na mark van bommel wamehama kutokana na kizazi kipya cha waspain kina sergio busqutes,pedro rodiguez na kuna mwingine marc muniesa achilia mbali bojan krkicSpain alikuwa anatoka Torres anaingia Fab
Keita anacheza Defensive Midfielders pale Barca ,ili timu ibalance lazima either Iniesta/Xavi aanze benchi
yap kweli kabisa,yani hiyo ndio ilikuwa inawasumbua spain miaka ya nyuma,ilikuwa inacheza sana ila inafungwa ikikutana na timu zinazotumia nguvu,ila kwa sasa imebadilika hata viungo inao wenye nguvu eg alonso na xavi,kuhusu fabregas kweli tatizo hana nguvu kulinganisha na wenzie kina iniesta,na kweli kama unavyosema hawana tatizo la washambuaji au winger.Inategemea na aina ya mchezaji ukweli Spain wanakosa Defensive Midfielder anayetunia nguvu so far yupo Sergio na Alonso na Alonso alipata uzoefu mkubwa kwenye Premier League e ndio maana Makelele,Keita,Sena walipata chance .Hawana tatizo la striker au Attacking Midfielder/Winger
Kwa wale Braugrana wote tunaingia katika La Liga season nyingine tukianza na Spanish Super Cup,kuashiria msimu mwingine wa vikombe,baada ya kumaliza likizo ya world cup,all Barca players involved in La Roja, were in action on saturday, overcoming a 3-1 deficit,to beat Sevilla 4-0,and win Super cup kwa mara ya 9!!
Kaka Jina lako gumu
Gumu kulitamka au kulisoma?mbona simple tu na ni la kibantu zaidi,vipi hili, "Schwarzenegger",unaweza kulitamka?
Manyinyi Barca hamuachi fujo tu msimu huu. Mascherano mmeshindwa kutoa fweza muafaka mnataka vya bure bure sana.
Laporta kachukua pesa zote kaenda kufanya kampeni ya uraisi wa Catalunya
Barca wana tamaa sana wakati fweza zinawapiga chenga..