Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Yaya anaweza kucheza nafasi tatu au nne, ni kiraka mzuri ila sina uhakika na kasi yake, maana inaonekana ni giant flani hivi.Paying 220K for a player like Yaya per week is crazy!!!
BTW, waingereza najua watapiga kelele, maana majuzi yule dogo Owusu-Abeye aliekuwa anakipiga Portsmouth alihamia Qatar anakula 80 K / week, waingereza wakaanza kupondea..lol