Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi nimekuwekea hapo JUU,Weka ushahidi [emoji4] [emoji4] tatzo liko wap
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee kweli shida tupu kwa hyo huo ndio mwisho wa ushahid wako. OK nakujibu kama ifuatavyo ila kabla ya yote nikuulize swali JIBU LAKE LIWE NDIO au HAPANAUshahidi nimekuwekea hapo JUU,
OMBA RADHI AU TIMIZA AHADI YAKO!
NAKUTAKIA SAFARI NJEMA MKUU TUTAKUMIC SANA![emoji13] [emoji14] [emoji12] [emoji1]
Hayo maswali ya primary mpe rafikio Aleyn ayajibu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee kweli shida tupu kwa hyo huo ndio mwisho wa ushahid wako. OK nakujibu kama ifuatavyo ila kabla ya yote nikuulize swali JIBU LAKE LIWE NDIO au HAPANA
Je Unaamini Barcelona alishafungwa 7:0 na Bayern??
[emoji144] [emoji144] [emoji144]
Kwahiyo unaondoka au umegoma mkuu??Kama umeshindwa kunijibu nami siwez nikajibu lolote
Wewe ndiye uliyegoma kunijibu swali languKwahiyo unaondoka au umegoma mkuu??
mkuu si ulisema nikuletee ushahidi wa wewe kusema kuwa "madrid wakiifunga barcelona unaacha kushabikia mpira" NIMEKULETEA!Wewe ndiye uliyegoma kunijibu swali langu
Mkuu kwa kukusaidia kama ni mtaalamu wa mathematics utaelewa faster.mkuu si ulisema nikuletee ushahidi wa wewe kusema kuwa "madrid wakiifunga barcelona unaacha kushabikia mpira" NIMEKULETEA!
mbona juhudi za kukwepa KUJIUZULU zinakuwa kubwa tena??
NAONA UNATAKA KUWA "NKURUNZINZA" SASA???
Unaongoza kwa kutoa ahadi lakini hujawahi kutimiza hata moja
Hii ndio shida ya "mashabiki wa mkopo" sasa aggregate kwenye ligi tena ya kazi gani???Mkuu kwa kukusaidia kama ni mtaalamu wa mathematics utaelewa faster.
0:4 1:2
=
5:2[emoji6]
TENA???[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Mkuu mimi sio shabiki fake la ziada Barcelona nimeanza kitambo kabla hata wewe haujawa mshabiki wa mouTENA???[emoji134] [emoji134] [emoji134]
AHADI FAKE
MSHABIKI FAKE WA BARCA!