FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Acheni kulia lia mlijua na jana mngebebwa sio? Poyeeeeeeeeeeeeeeeeee
Naona bado hujapoa. Cr7 amewafanya nini vile maana niliona anatoka kwenu na boxer

Mtaongea leo bibie! Alaf mmesahau mlikula 4-0 kwenu? Lkn hamna neno, furahieni, kwa sbb sisi bdo tupo juu na tunaelekea kuweka historia Kwa kupata treble mbili zinazofuatana....ahahhhhm na ninyi mna kikombe gn?
 
sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!

marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,

Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
 
Hapa kuna msiba kwani huoni? Tumekuja kutoa salamu za rambi rambi kutoka kwa Ronaldo.

Bibie Nyie ongeeni tu,, kwakuwa midomo 2mewekewa kwa matumizi mbalimbali moja wapo ni kama hiyo ya-kuongea, madrinyo ajivunie tu kwa ushindi wa jana! But end of the day Ndoo wataiona inakabidhiwa kwa mafundi wa soccer wa La Liga...BARCAS
 
Everyone say Hi to neymar

ecf0097b80b81275a868bbcf1d2d3a09
 
Vipi Wangu nawe Timu popo km mimi? Haha tushukuru kwa yote siku hazilingani......

Hakuna km Barca lkn c mbaya,,, ila namlaumu kocha Kwa kumtoa Rakitic in-short kachangia kufungwa kwa Barca otherwise zingejirudia zile 4 tulizowapiga huyo cristina wao alikuwa hatembei, alikuwa anadondoka hovyo km kabemendwa, so hakuna km msn katika ulimwengu huu wa soccer,
 
forca barca forca barca, tarehe 5 wiki ijayo tunaenda kupambana na vibonde wetu athletic Madrid na tutampa kipigo km tulivomkaribisha Mourinho na benitez na kwa Hakika Diego simeone atapatwa presha, kutetemeka na kukojoa golini km alivofanya kocha bora wa miaka yote wa man utd bwana Sir Alex Ferguson. VAMOS BARCA.
Hatuna presha dhidi ya UEFA, hii ngoma imabaki tena Camp Nou.
 
Kwa taarifa yako Atletico Madrid ndo bogey team ya wababe wa Spain. Hom na away sioni mkochomoka, Simeone ni mtaalam wa knock out na Atletico kwa ujumla ni wapambanaji, wakiamua kukukaba mpaka kivuli wanafanya hivyo na mtapoteana tu.
Wapi PNC, natumai unatafuta id nyingine.
Ukiachana na msimu Barca alotolewa na Atletico, mpaka wamekutana mara ngapi na Atletico kashinda Game hata moja?
 
Nahifadhi hii comment yako! Atletico toka mmeifunga hiyo nje ndani mengi yamebadilika. Wao wanapanda nyie mnashuka.
Huu ndo ukweli, na endapo mtapendelewa mkatusua kwa Atletico, mziki wa Buyern hamuuwezi.
Kukimbia dk 90 na mpira sio gemu yenu.
Alafu ukweli ni kwamba, barca ukimzuia Messi, na Iniesta, timu haiendi. Neymar na Suarez wanacheza endapo mmoja wa messi au iniesta yuko mchezoni au wote!
Kilichofanywa jana na zidane, tegemea mara mbili ya hicho toka kwa Simeone.
Tatizo wewe unahisi mpira ni siasa, na hivi ulivyo kada wa ccm ndo kabisaaaa!!!
 
Mbona na nyie siku zote mna nyodo + mashauzi km mbuzi

Leo mmekalia mmekuwa wapole km jongoo wenye miguu miwili...si bora unyamaze tu
ukintajia unashabikia team gani, walau ntakuona wa maana.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tumepoteza mechi moja baada ya kufanya vizur since october lakn kelele zinazopigwa humu na mashabiki wa epl utafikir tumeshuka daraja aisee...ngoja tuone bingwa wa laliga atakua nani sasa
Timu za EPL zina chuki na Messi na Barca, usiwashangae kufurahi namna hii. Wengi wao humu ni Arsenal na Man U, kwa mbaaaaaaali Chelsea.
 
Game ilikuwa nzuri ijapokuwa haikupaswa kufungwa pale Camp Nou.

Kwa kweli Madrid walicheza kwa makini sana hususani upande wa mabeki Pepe na Ramos. Kipindi cha pili Marcelo alikuwa akipanda sana kutokana na Messi kuingia kati wakati wote pamoja na kukaa mbele na Suarez.

Tunapaswa tupate mtu kama Modric, Thiago Alcantara n.k huyu Rakitic ana kauzito flani hivi japo ni kiungo makini anapokuwa na mpira, speed ya kurudi kukaba sio nzuri sana, na hata speed ya kucheza tiki taka sio mzuri sana kama Thiago Alcantara au Mario Gotze, Thomas Muller. Board ya Barca inapaswa kuliangalia hili ijapokuwa Arda Turan akipewa muda zaidi atakuwa ni mzuri kuliko Rakitic.

Kutokana na mechi ya jana nadhani benchi la ufundi limeona udhaifu wa timu na wataufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom