FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tatizo wewe unahisi mpira ni siasa, na hivi ulivyo kada wa ccm ndo kabisaaaa!!!
Acha ujinga, ni wapi nimehusisha siasa na mpira? Siko kama wewe, kama ni siasa nitaenda jukwaa la siasa!
Umekuwa mtumwa wa siasa, kila mahali unaingiza siasa.
 
kiukweli huyu kipa namkubal sana na anatakiwa kesho adake tatzo kocha anambania UEFA ila namuamini sana kuliko yule asiyetulia golini
 
Leo ndio leo asemaye kesho ni muongo mtoto hatumwi dukani saa 4:45 usiku uwanja camp nou
 
Leo ntacheka Sana kuliko Jumamosi. Hawa hawataki mamluki Leo jioni watapotea jukwaa watatuachia sisi hahaha
 
QATARunya anapigwa leo ndio mtajua Luis Enrique sio kocha. Watu wameshaisoma style ya mchezo sasa sijui kama anaakili ya kubadilisha kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…