Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga, ni wapi nimehusisha siasa na mpira? Siko kama wewe, kama ni siasa nitaenda jukwaa la siasa!Tatizo wewe unahisi mpira ni siasa, na hivi ulivyo kada wa ccm ndo kabisaaaa!!!
Acha ujinga, ni wapi nimehusisha siasa na mpira? Siko kama wewe, kama ni siasa nitaenda jukwaa la siasa!
Umekuwa mtumwa wa siasa, kila mahali unaingiza siasa.
Nimewamiss mbayaaa....Hahahahahaah...tuhabarishane ukipata mafanikio yoyote
Pengine kajinyonga, ngoja nimtafute zaidi.
Hatutak mamlukiNimewamiss mbayaaa....
Duuuuh hii shida yote kaileta mnyama cr7!Hatutak mamluki
Kesho atadaka Ter Stegen usiyempenda, UEFA na kombe la mfalme ataanza Ter Stegem, labda itokee dharura.View attachment 334796View attachment 334797View attachment 334798 kiukweli huyu kipa namkubal sana na anatakiwa kesho adake tatzo kocha anambania UEFA ila namuamini sana kuliko yule asiyetulia golini
Kabisaaaa, sijui hawana jukwaa!!Hatutak mamluki
Kwa saa za kibongo ni 3:45, leo tunamnyoosha mtu.Leo ndio leo asemaye kesho ni muongo mtoto hatumwi dukani saa 4:45 usiku uwanja camp nou
View attachment 334877
Sio kwa mechi mbili kufungwa? Huyo kocha wenu ashawahi beba treble?QATARunya anapigwa leo ndio mtajua Luis Enrique sio kocha. Watu wameshaisoma style ya mchezo sasa sijui kama anaakili ya kubadilisha kitu.
Sio kwa mechi mbili kufungwa? Huyo kocha wenu ashawahi beba treble?
Sawa, umemaliza?Baadae usikimbie jukwaa kama jumamosi. Kwa humu humu tuongeee