Wewe leo ndio utakimbia jukwaaLeo ntacheka Sana kuliko Jumamosi. Hawa hawataki mamluki Leo jioni watapotea jukwaa watatuachia sisi hahaha
Barcelona ikifungwa nipewe ban ya miez 3QATARunya anapigwa leo ndio mtajua Luis Enrique sio kocha. Watu wameshaisoma style ya mchezo sasa sijui kama anaakili ya kubadilisha kitu.
Hakuna ambaye amekimbia jukwaaBaadae usikimbie jukwaa kama jumamosi. Kwa humu humu tuongeee
Barcelona ikifungwa nipewe ban ya miez 3
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo hatoki mtu ushaanza kukata tamaaTumekuzoea na ahadi zako hewa kama mwanasiasa. Usiwasumbue moderators we jipige ban mwenyewe tu.
Tatizo wale ote ni makipa bora so inabidi afanye ivo japokua mmoja atakua bora kuliko mwingneView attachment 334796View attachment 334797View attachment 334798 kiukweli huyu kipa namkubal sana na anatakiwa kesho adake tatzo kocha anambania UEFA ila namuamini sana kuliko yule asiyetulia golini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo hatoki mtu ushaanza kukata tamaa
kumiliki mpira ndiyo defense yetu. kama tunaweza kaa na mpira kwa 70% mabeki visiki wa kazi gani?Tatizo lenu la beki toka aondoke puyol hakuna mkungu mwingine mlioupata ila siri inafichwa coz most of the time mnamiliki mpira ikitokea game kama hizi ndo mnatahayari.Jambo la msingi mpate mtu wa kati pale kitasa cha nguvu.
Hufikirii kuwa hiyo 30%ya adui kama huna beki nzuri ndo itakuwa anguko lenu?sote tunafahamu umuhimu wa ukuta mzuri hata utawale vipi mpira ila kama huna watu wazuri pale kati ipo siku utaona umuhimu wao.kumiliki mpira ndiyo defense yetu. kama tunaweza kaa na mpira kwa 70% mabeki visiki wa kazi gani?
Leo ntacheka Sana kuliko Jumamosi. Hawa hawataki mamluki Leo jioni watapotea jukwaa watatuachia sisi hahaha
Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] PAGAN leo ushindi lazma yani bora wachezaj wafie uwanjani kuliko kutolewa 16 bora leo ndio mtamjua vizur KingWe unatolewa nje ya UCL na Atletico de Madrid. Halafu tunaomba tafadhali moderators msimpige ban huyu mtu, tunamuhitaji humu. Ni muhimu aone tunaongea nini baada ya vichapo viwili ndani ya siku 4.
Aliyekwambia Barcelona haina watu wazuri kati ni nani??Hufikirii kuwa hiyo 30%ya adui kama huna beki nzuri ndo itakuwa anguko lenu?sote tunafahamu umuhimu wa ukuta mzuri hata utawale vipi mpira ila kama huna watu wazuri pale kati ipo siku utaona umuhimu wao.
mkuu MESSI katajwa kwenye "panama papers" unazungumziaje wewe kama shabiki wa barca+messi, tena uliahidi ukifungwa hutoshabikia tena mpira kulikoni???Aliyekwambia Barcelona haina watu wazuri kati ni nani??
Kuhusu Panama Papers ni kumchafua jana familia yake imezungumza na kuhusu ahad niliyoiweka 0:4. 1:2 = 5:2mkuu MESSI katajwa kwenye "panama papers" unazungumziaje wewe kama shabiki wa barca+messi, tena uliahidi ukifungwa hutoshabikia tena mpira kulikoni???
tatizo mtu akiona beki anapanda sana anadhani anakuwa siyo beki mzuri.Aliyekwambia Barcelona haina watu wazuri kati ni nani??
mkuu MESSI katajwa kwenye "panama papers" unazungumziaje wewe kama shabiki wa barca+messi, tena uliahidi ukifungwa hutoshabikia tena mpira kulikoni???
Kingine mkuu ninachowashangaa timu hyohyo wanayosema beki mbovu unakuta Ulaya yote ndio timu yenye ukuta ambao haujaruhusu magoli mengitatizo mtu akiona beki anapanda sana anadhani anakuwa siyo beki mzuri.