FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

QATARunya anapigwa leo ndio mtajua Luis Enrique sio kocha. Watu wameshaisoma style ya mchezo sasa sijui kama anaakili ya kubadilisha kitu.
Barcelona ikifungwa nipewe ban ya miez 3
 
Atletico Madrid wapo solid sana kwenye defence. Ni ngumu sana kuwafunga. Na niwazuri kwenye counter attack. kwa kifupi hii game ni tough sana.
 
Tumekuzoea na ahadi zako hewa kama mwanasiasa. Usiwasumbue moderators we jipige ban mwenyewe tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Leo hatoki mtu ushaanza kukata tamaa
 
We unatolewa nje ya UCL na Atletico de Madrid. Halafu tunaomba tafadhali moderators msimpige ban huyu mtu, tunamuhitaji humu. Ni muhimu aone tunaongea nini baada ya vichapo viwili ndani ya siku 4.
 
Tatizo lenu la beki toka aondoke puyol hakuna mkungu mwingine mlioupata ila siri inafichwa coz most of the time mnamiliki mpira ikitokea game kama hizi ndo mnatahayari.Jambo la msingi mpate mtu wa kati pale kitasa cha nguvu.
kumiliki mpira ndiyo defense yetu. kama tunaweza kaa na mpira kwa 70% mabeki visiki wa kazi gani?
 
Hufikirii kuwa hiyo 30%ya adui kama huna beki nzuri ndo itakuwa anguko lenu?sote tunafahamu umuhimu wa ukuta mzuri hata utawale vipi mpira ila kama huna watu wazuri pale kati ipo siku utaona umuhimu wao.
 
We unatolewa nje ya UCL na Atletico de Madrid. Halafu tunaomba tafadhali moderators msimpige ban huyu mtu, tunamuhitaji humu. Ni muhimu aone tunaongea nini baada ya vichapo viwili ndani ya siku 4.
Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] PAGAN leo ushindi lazma yani bora wachezaj wafie uwanjani kuliko kutolewa 16 bora leo ndio mtamjua vizur King
L
E
O
M
E
S
S
I
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Hufikirii kuwa hiyo 30%ya adui kama huna beki nzuri ndo itakuwa anguko lenu?sote tunafahamu umuhimu wa ukuta mzuri hata utawale vipi mpira ila kama huna watu wazuri pale kati ipo siku utaona umuhimu wao.
Aliyekwambia Barcelona haina watu wazuri kati ni nani??
 
mkuu MESSI katajwa kwenye "panama papers" unazungumziaje wewe kama shabiki wa barca+messi, tena uliahidi ukifungwa hutoshabikia tena mpira kulikoni???
 
Kuhusu Panama Papers ni kumchafua jana familia yake imezungumza na kuhusu ahad niliyoiweka 0:4. 1:2 = 5:2
Barca win [emoji6] 5:2
Una la ziada??
 
mkuu MESSI katajwa kwenye "panama papers" unazungumziaje wewe kama shabiki wa barca+messi, tena uliahidi ukifungwa hutoshabikia tena mpira kulikoni???

Mkuu huyo sio shabiki wa mpira bali kadandia treni la Messi tu. QATARunya Haina die hard fans umeona juzi Messi wao kafichwa hawakuja kutoa analyse ya game kwasababu hawaangaliagi mpira wanasubiri Messi afunge goli watupigie kelele humu.
 
Back
Top Bottom