Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Kama alivyosema mdau hapo juu ni vigumu ku-conclude kuwa klabu moja ndio bora kuliko zote katika historia. Inaweza timu ikwa bora for a certain period of time na sio all time. Hiyo sio soka tu bali ni mchezo wowote.
Real Madrid:
Ukiongelea soka Spain na Europe in the 50's 60's, 70's hata 80's it was all Real Madrid!! This is the most prestigious football club in Spain.Hata Barcelona wanajua hivyo. This is more than a football club. RM has a historic and rich football tradition.Ilifika wakati kila nyota wa soka duniani alikuwa na dream moja tu i.e. kuichezea R.Madrid.Kuanzia enzi za akina Alfredo de Stefano, Julio Iglesias hadi enzi hizi za akina Raul.
Liverpool:
Liverpool ya 1970's & 1980's (Enzi za akina Keegan, Daglish, Rush, Hansen, Barnes etc.) The most successful English club,miaka hiyo ilikuwa ikifanya mauaji makubwa sana huku ikisulubisha kila timu enzi hizo UK na Europe. Hakuna aliyetaka kwenda Anfield. Baada ya kufungiwa na UEFA kwa miaka 5 kutokana na mauaji wa shabiki wake kule Brussels ktk fainali v/s Juventus mwaka 1985-1990 ndio imekuwa kama laana na kiama cha Liverpool kwani haijarudi kuwa Liverpool ile ya miaka ya mauaji.
AC Milan:
Hii ndio the most succecsful Italian football club so far. Mwisho wa miaka ya 80's na hadi 90's hii timu ilikuwa inatisha na hakuna mtu wala defense alietaka kukutana na The great Dutch Trio( Gulit/Rijkaard/Van Basten)
Baada ya hapo ndio kukaja enzi za Man United, Barcelona na hata Chelsea kwa sasa.
Numbers don't lie. Ukifanya tathmini ya ipi ni the most successful soccer club of all time, inategemea na utakaemwuliza. Je utapima hivyo kutokana na vikombe timu ilivyoshinda? Kama ni hivyo basi ni Real Madrid.
Barcelona is a great team kwa sasa lakini mafanikio yake bado hayajaifikia timu kama Real Madrid , Liverpool, AC Milan, Bayern Munich na Man Utd. Hii ni kuokana na idadi ya vikombe ilivyoshinda Spain na Europe.
Vuvuzela mi nakurekebisha.
AC Milan ni most Succecsfull club all over the world.
Usilete ujanja ujanja wa kuzitumbukiza timu kama Man UtD, Chelsea wala Arsenal.
Unapozungumzia mafanikio ktk soka basi huna budi kupitia historia za Mataji kwa kila klabu.
Sasa kama mtaangalia mafanikio ya vikombe basi AC Milan ndio mashababi wa mafanikio Duniani.
Lakini kama mtataka kuangalia labda timu gani ina wapenzi hapa Tanzania ambao hawana hata kadi basi hapo ndio mtawataja hao wengine.