Mpaka leo hujajua michezo ya atletico basi mpira umeanza kufuatilia juzi. La Liga nzima wanajulikana kwa rafu na michezo ya kibabe. Hapo wamepunguza kidogo baada ya kuondoka costa
Good for u.Mpira nimeanza kufuatilia jana, juzi mbona mbali.
Game bado on hii. Wamewakosa Leo subirini Vicente Calderón tena itakuwa full Squad
Pole Pole mkuu umeme utakatika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Was a tough game for sure. Aggregate 2-1. Atletico wamefanya poa kupata bao Camp Nou.
Atletico wote wamepewa kadi. You gotta love This ref.
Atletico wote wamepewa kadi. You gotta love This ref.
wamekula njano 8 kwasisi 3. halafu mtu atashangaa walivyopewa Red.Atletico wanapiga viatu bana hawa watu sio aisee....ukicheka nao wanakuvunja miguu yote miwili
huko ndiyo itakuwa balaa maana watajitia kuattack kitu kitachowagharimu sana.Game bado on hii. Wamewakosa Leo subirini Vicente Calderón tena itakuwa full Squad
Ushawahi kucheza mpira?Japo torres kafanya uzembe ila hakupaswa redcard, refa hajafanya fair
Game ni next week mkuu.Match ya FC Barcelona atretico madread saa ngapi?