FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mpaka leo hujajua michezo ya atletico basi mpira umeanza kufuatilia juzi. La Liga nzima wanajulikana kwa rafu na michezo ya kibabe. Hapo wamepunguza kidogo baada ya kuondoka costa


Mpira nimeanza kufuatilia jana, juzi mbona mbali.
 
Walikiwa pungufu mmetoa ulimi nje, subiri sasa game ya marudiano
 
Was a tough game for sure. Aggregate 2-1. Atletico wamefanya poa kupata bao Camp Nou.
 
kipindi cha pili forward yetu imejichanganya na defenders wao kama maharage na mahindi kwenye kande. Suarez alikuwa kama lone soja behind the enemy line. ndiyo dawa ya wapuuzi wate wanaotaka kuturudisha kwenye Catenaccio. Danny, Neymar na Iniesta shikamooni sana.
 
Back
Top Bottom