FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Ilibakia kidogo sana tuwachape la 3....
 
Reactions: PNC
Usiumize kichwa sana, Bercalona hafiki mbali, na hana huo uwezo wa kuchukua hili Kombe
 
game aliipatia sana.jamaa ni professional lawyer kutoka Munich. alikuwa anajua anachokifanya. pia unavyosema watatu tu wa barca unakuwa kama unasema tulibebwa japo unapretend vinginevyo.
 
Usiumize kichwa sana, Bercalona hafiki mbali, na hana huo uwezo wa kuchukua hili Kombe

Mwenye uwezo ni nani sasa? Ninyi wana-arsenal mna matatizo mno, tulishawapiga nje kaeni mtulie...hebu angalia babu yenu anazidi kuisha tu😀😀 maskini ya Mungu, mwishoe atapata madonda ya tumbo buree

 
Reactions: PNC
Wapinzani wa Barcelona mnatakiwa muelewe kuwa Barcelona alivyopoteza juzi had aje kupoteza tena ni mwez wa 9 hvyo mnabid mlie tu sasa ni mwendo wa vichapo
 
Ningeshangaa usingetoa uchambuz wako usio na mantiki 7bu ulikuwa mstar wa mbele kusema Atletico atafika final
Second time now barca anamfunga atletico de Madrid akiwa pungufu..... Hii ni dhahiri kipimo cha atletico kwa barca ni players 9 ndani....ila red card ya mapema ni tatzo piaaa referee hakustahili kufanya HVO ila big up kwa vijana wa simeone wamejitahidi kuhold...game toka dakika ya 36 walipokua pungufu......naamini atletico atamwondoa barca next week
 
mwenzako amekaa darasani kupata cheti cha FIFA, kama kweli kadi hawakustahili tutasikia msimamo wa UEFA.
au na ww una cheti cha u referee cha TFF
refa kaharib mechi..mech kubwa unatoa ksd km karanga....afu utafakiri refa hajui km alves na sergio hua ni wahun tu..
 
Dah kweli ndo zetu hizo... Hasa kwenye Uefa. Miaka yote tunachukua kwa kubebwa. Wapinzani wanakula nyekundu tu. Man U walikuwa na nyekundu 2009 tukawatia 2-0 fainali. 2011 tukawapiga 3-1 hadi babu akatetemeka kwa sababu ya kadi nyekundu waliyokuwa nayo. 2015 tukawatoa Bayern nusu fainali. Tuliwapiga 3-0 Nou Camp kwa sababu ya kadi nyekundu waliyopata. Na fainali Juve tukawatia 3-1 kwa kuwa walikuwa na nyekundu. Dah marefa wanatubeba mno!!!
Vipi mmerizika wembeee nkuwi Th Name Bitoz Root Belo
 
kakusanya umbeya nairaland na kuuleta bila kujiridhisha usahihi wake.
 
Kwani sheria ya mpira inasemaje???naomba uniambie muda sahihi wakupewa kadi nyekundu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…