FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kipindi cha pili forward yetu imejichanganya na defenders wao kama maharage na mahindi kwenye kande. Suarez alikuwa kama lone soja behind the enemy line. ndiyo dawa ya wapuuzi wate wanaotaka kuturudisha kwenye Catenaccio. Danny, Neymar na Iniesta shikamooni sana.

Ilibakia kidogo sana tuwachape la 3....
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Felix Brych...ameiharibu radha ya hii game, kuanzia dakika ya 36 baada ya red card ya Torres mwelekeo wa game ulikuwa si mzuri sana ulikuwa mchezo wa upande mmoja na pia bado Mjerumani huyu aliendelea kugawa kadi kama njugu kwa player wa Atletico, mpaka game inaisha kadi nane 8 za njano na moja nyekundu zilitolewa kwa upande wa Atletico Madrid huku watatu tu wa Barca ndio waliozawadiwa kadi. Ni kweli kuwa Atletico huwa wanacheza taff game lakini bado mwamuzi alitekwa na tabia ya wachezaji wa Barca kumzonga kila mara, na kiukweli walifanikiwa kuteka akili yake. Mara nyingine UEFA wawe wanaangalia ktk uteuzi wao wa waamuzi ktk game taff kama hii, nafikiri referee toka EPL hii game ingemfaa sana. Nieleweke sisemi kuwa mwamuzi alikuwa upande wa Barca Nooo, but game ilimshinda.
Usiumize kichwa sana, Bercalona hafiki mbali, na hana huo uwezo wa kuchukua hili Kombe
 
game aliipatia sana.jamaa ni professional lawyer kutoka Munich. alikuwa anajua anachokifanya. pia unavyosema watatu tu wa barca unakuwa kama unasema tulibebwa japo unapretend vinginevyo.
 
Usiumize kichwa sana, Bercalona hafiki mbali, na hana huo uwezo wa kuchukua hili Kombe

Mwenye uwezo ni nani sasa? Ninyi wana-arsenal mna matatizo mno, tulishawapiga nje kaeni mtulie...hebu angalia babu yenu anazidi kuisha tu😀😀 maskini ya Mungu, mwishoe atapata madonda ya tumbo buree

12317768_1741225599424317_766663454_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wapinzani wa Barcelona mnatakiwa muelewe kuwa Barcelona alivyopoteza juzi had aje kupoteza tena ni mwez wa 9 hvyo mnabid mlie tu sasa ni mwendo wa vichapo
 
Ningeshangaa usingetoa uchambuz wako usio na mantiki 7bu ulikuwa mstar wa mbele kusema Atletico atafika final
Second time now barca anamfunga atletico de Madrid akiwa pungufu..... Hii ni dhahiri kipimo cha atletico kwa barca ni players 9 ndani....ila red card ya mapema ni tatzo piaaa referee hakustahili kufanya HVO ila big up kwa vijana wa simeone wamejitahidi kuhold...game toka dakika ya 36 walipokua pungufu......naamini atletico atamwondoa barca next week
 
mwenzako amekaa darasani kupata cheti cha FIFA, kama kweli kadi hawakustahili tutasikia msimamo wa UEFA.
au na ww una cheti cha u referee cha TFF
refa kaharib mechi..mech kubwa unatoa ksd km karanga....afu utafakiri refa hajui km alves na sergio hua ni wahun tu..
7da31caa56bbe483d25324b432b6c008.jpg
 
Second time now barca anamfunga atletico de Madrid akiwa pungufu..... Hii ni dhahiri kipimo cha atletico kwa barca ni players 9 ndani....ila red card ya mapema ni tatzo piaaa referee hakustahili kufanya HVO ila big up kwa vijana wa simeone wamejitahidi kuhold...game toka dakika ya 36 walipokua pungufu......naamini atletico atamwondoa barca next week
Dah kweli ndo zetu hizo... Hasa kwenye Uefa. Miaka yote tunachukua kwa kubebwa. Wapinzani wanakula nyekundu tu. Man U walikuwa na nyekundu 2009 tukawatia 2-0 fainali. 2011 tukawapiga 3-1 hadi babu akatetemeka kwa sababu ya kadi nyekundu waliyokuwa nayo. 2015 tukawatoa Bayern nusu fainali. Tuliwapiga 3-0 Nou Camp kwa sababu ya kadi nyekundu waliyopata. Na fainali Juve tukawatia 3-1 kwa kuwa walikuwa na nyekundu. Dah marefa wanatubeba mno!!!
Vipi mmerizika wembeee nkuwi Th Name Bitoz Root Belo
 
kakusanya umbeya nairaland na kuuleta bila kujiridhisha usahihi wake.
 
Second time now barca anamfunga atletico de Madrid akiwa pungufu..... Hii ni dhahiri kipimo cha atletico kwa barca ni players 9 ndani....ila red card ya mapema ni tatzo piaaa referee hakustahili kufanya HVO ila big up kwa vijana wa simeone wamejitahidi kuhold...game toka dakika ya 36 walipokua pungufu......naamini atletico atamwondoa barca next week
Kwani sheria ya mpira inasemaje???naomba uniambie muda sahihi wakupewa kadi nyekundu
 
Back
Top Bottom